Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,393
Mnataka kumkimbiza sasa au mnatafuta wa kuwapa points πInabidi na yeye ashiriki next league
Siku haiwezi isha bila kukuandama, huo utakuwa ugonjwa πππUnataka kusema mimi sioπππ
Kwake yeye me ni professional nimemzidi siku za kucheza...
Ndo nilichomaanisha ila kwakua unapenda vita ukaona unigandeπ€£π€£π€£
Uliza watu humu, mimi ni kibonde mkuu.Mkuu wait niive kidogo nipe siku 5 nijifue then nikuchallenge sasa hivi utanionea.
Unaona sasa mambo yako πππNa atakupiga nyingi sana huyo hana huruma
Dah ananikandia ngoja waje wenye ushahidi wa matokeo uone navyokandwa.Nimeshtuka mkuu.
Alafu nione unatumia jina la noob tena tutatumia ushahid kukufunga. π€£π€£π€£π€£Bado sanaa mkuu πππme mwenyewe na u pro wangu kona nimefunga 5 tuu π€£π€£
Poa mkuu kesho kutwa tutacheza.Uliza watu humu, mimi ni kibonde mkuu.
Halafu kucheza friends ndiyo kutakuivisha ila siyo AI.
Ugomvi wa ndugu huu sisi hatuingilii ππnyie pandeni tu matchDah ananikandia ngoja waje wenye ushahidi wa matokeo uone navyokandwa.
Kandambili1 Mill broh Mr Devil Gilberto_ njoeni muweke matokeo aone nilivyo kibonde.
Aah kumbe unawafunga mapro hongera sana mkuuAlafu nione unatumia jina la noob tena tutatumia ushahid kukufunga. π€£π€£π€£π€£
Pa mkuu.Poa mkuu kesho kutwa tutacheza.
imebidi nicheke mkuu ...niemkufumga mara chache sana lakini kucheza na nyie sana Kunafanya nimejua aina ya wachezaji kwa wakati husikaAah kumbe unawafunga mapro hongera sana mkuu
Wewe ni master Pro sasaππ
Hatujapanda siku nyingiimebidi nicheke mkuu ...niemkufumga mara chache sana lakini kucheza na nyie sana Kunafanya nimejua aina ya wachezaji kwa wakati husika
Ngoja niweke line hewani kama upo twende...Hatujapanda siku nyingi
Twende ukanifunge basi ππ
Mkuu upo?Hatujapanda siku nyingi
Twende ukanifunge basi ππ
Yes nakuja mkuu ...namm ngoja niunge bundle apaNgoja niweke line hewani kama upo twende...
Nipo saa tano na nusu uje hapa utakuta codeππYes nakuja mkuu ...namm ngoja niunge bundle apa
Amna shda mkuu ntarudi apaNipo saa tano na nusu uje hapa utakuta codeππ
Twende nikachezee main account tuuAmna shda mkuu ntarudi apa
Nilitaka nikupeleke kwa Torres lakn nimeona niache tuuAmna shda mkuu ntarudi apa