Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Tumpe treasure ikiwezekana.Endelea kukomaa mkuu hicho kitakuwa chap...
Unaifahamu sehemu ya mission ilipo
Michezo ya malapa hiiπ€£Tupo pamoja, weka username yako tukuadd ili unifundishe kukaba.
Ndo nataka nione ana slot ngapi hapoTumpe treasure ikiwezekana.
Kumbe wewe ni pro? πππBado sanaa mkuu πππme mwenyewe na u pro wangu kona nimefunga 5 tuu π€£π€£
Hamna nataka nijifunze kukaba si unaona navyohaha, tangu nimeanza game hii update mpya imenipa vipigo vizito sinawahi kutana navyo hapo kabla πMichezo ya malapa hiiπ€£
Nikufundishe kukaba? Username yangu ni YohimbebarkTupo pamoja, weka username yako tukuadd ili unifundishe kukaba.
Aje aseme hapa tumzawadie, usisahau kumuelekeza kulink.Ndo nataka nione ana slot ngapi hapo
Ndio mkuuEndelea kukomaa mkuu hicho kitakuwa chap...
Unaifahamu sehemu ya mission ilipo
Eeh mkuu najifunza kukaba mie kama wewe tu, username yangu nadhani umeiona kwenye screenshot nilizokutumia.Nikufundishe kukaba? Username yangu ni Yohimbebark
Naelewa basi mkuu kama nimelink au bado.Safi, ukijua hili game utaona kabisa DLS ni takataka π
Haya weka na username yako kabisa.
Bila shaka yawezakuwa hujalink account bado.
Nenda pale kwenye mission fungua achana na ya kwanza ambayo ina Amorim nenda ya pili fungua then tuma screen shot..Ndio mkuu
Bado hujaunganisha na Konami I'd utafanya tuu kikubwa kwa sasa usifute game kwanza maana ukifuta unapoteza kikosi chakoNaelewa basi mkuu kama nimelink au bado.
Inabidi na yeye ashiriki next leagueEeh mkuu najifunza kukaba mie kama wewe tu, username yangu nadhani umeiona kwenye screenshot nilizokutumia.
Unataka kusema mimi sioπππKumbe wewe ni pro? πππ
Mkuu wait niive kidogo nipe siku 5 nijifue then nikuchallenge sasa hivi utanionea.Eeh mkuu najifunza kukaba mie kama wewe tu, username yangu nadhani umeiona kwenye screenshot nilizokutumia.
Upate mnyonge kukuliko...ππInabidi na yeye ashiriki next league
Na atakupiga nyingi sana huyo hana hurumaMkuu wait niive kidogo nipe siku 5 nijifue then nikuchallenge sasa hivi utanionea.
Sawa mkuuBado hujaunganisha na Konami I'd utafanya tuu kikubwa kwa sasa usifute game kwanza maana ukifuta unapoteza kikosi chako
Nimeshtuka mkuu.Na atakupiga nyingi sana huyo hana huruma
Nimekupa maelekezo hapo juu unipe mrejeshoSawa mkuu