eFootball Special Thread

Utakua umenisaidia sana mkuu. Thanks in advance.
Tupo pamoja.

Boonyeza palipoandikwa Extras


Halafu utabonyeza Game Settings


Halafu utabonyeza Play Settings


Halafu utaweka hizi settings.


Ukihitaji kuweka settings zaidi utakuwa ukiuliza kulingana na settings zilizopo hapo.

Pia weka kikosi chako hapa ili tukusaidie kupanga kulingana na playstyle unayotaka/unayotumia.
 
😂😂😂nyie ni ndugu kabisa ina bidi muelekezane kupunguza vipigo
Mimi noob nitaelekeza nini mkuu? 😂

Endelea kucheka mkuu, nikishindwa kupata namna nzuri ya kuzuia naingia zangu town kuchukua pad 😂😂😂
 
Mimi noob nitaelekeza nini mkuu? 😂

Endelea kucheka mkuu, nikishindwa kupata namna nzuri ya kuzuia naingia zangu town kuchukua pad 😂😂😂
😂wahuni wana bonda bhana,, una tumia camera gan kwenye play game ukute umeweka ile unayo muona mchezaji tu huoni pass inako enda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…