eFootball Special Thread

Poa mkuu nimekusoma vyema.
 
Al mkuu
 
Mkuu hili game lina vitu vingi sana ambavyo unatakiwa uvijue viweze kukusaidia


Cha kwanza sijajua settings zako unatumia zipo kama ni Virtual Pad au Touch and flick

Kama unatumia hiyo ya pili badilisha weka ya kwanza


Then kwenye Joystick unaweza kuta ipo off

Weka move


Then ukitoka hapo kwenye ukabaji upo wa aina mbili

Ukabaji wa kutumia Pressure and Dash ukishika hiyo hushiki direction unashika hiyo tuu mchezaji anafata mpira mwenyewe kuapply pressure alafu baada ya hapo kuna ukabaji wa match up huu unahitaji kushika Match up pamoja na Direction stick ya mchezaji aende kukaba na mara nyingi unakaba kwa mbele ya mchezaji ili uziie pasi au shoot akipiga na pia hii ya matchup ni effective system ya kukaba...

Pia chagua formation Moja ambayo ipo balanced ambayo utaizoea kama 4222 au 4312 na pia angalia playstyle za wachezaji kila sehemu

Mfano kiungo wako namba sita ni heri akawa Anchorman ambaye yeye kazi yake ni kuwalinda mabeki au Orcharchestor ambaye anafata mpira chini kabisa golin na kuanzisha mashambulizi ila ukicheza na Box to Box hawa jamaa wapo kila sehemu...

The same goes to CBs na Full backs wako nao wapo na playstyle zao

Kama huzifahamu tutakuelekeza...


For now this is all i can share

Ukitaka ziadi kuna master Kandambili yupo atakupa ujuziπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sema ulikuja na moto wa PvpπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mkuu hapa sielewi kitu kuna jamaa tuu alinisaidia kuinstall hili game akanielekeza vitu vidogo mengine akaset mwenyewe akasepa, nimejaribu kutafuta setting ilipo ili niangalie hayo mambo ulionielekeza ila sijaona mkuu.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250830-152621_eFootball.jpg
    771.2 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…