Ndo ukaze mzee๐๐Unahisi sinatamani kucheza dvn ila we unaelewa simu ilivyokipengele halafu kule ili kutoboa inabidi ukaze mnoo maana siyo poa ๐
Kule ni unapiga tu puuh goli, game gani sasa ๐Kikubwa Radha๐๐
๐๐ sijawa serious tu ,kupanda kushuka siwezi vumilia aseeFanya hivyo Doue sio wa kuishia Division 2 kama Drogba๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kikubwa umecheza ๐Kule ni unapiga tu puuh goli, game gani sasa ๐
Ila bora acheze tu DLS hili eFootball ni stress tupu ๐๐๐
Bora hao kuliko malaya Imp ๐๐๐Bora Akina Snow....
Jamie na Dada yake je Lannisters wale๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Unamuuzia shemeji?Account yangu ya myunani 10K tuu๐๐sina shida mie aje achukue
Dvn sipawezi mkuu... Mara Kuna mda game ya mwisho network tu imeanza kata kistack mara kibao hahahahaMe mwenyewe nipo division 2 Point 1500 huko๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ndiyo mkuu.Selikavu mkuu hii uliyopost ni console sio??
Au Kumar Singh "Mystic falls to New Orleans " ๐ vampire diariesAseee๐๐
Unawaza GOT tuu kama mzee wa From Winterfell to Kings landing
Hii phase nafika ๐ ngoja nikaze vidoleChallenge mpya mfike vs AI division 1 sasa๐
Naanza kuwapigia kelele acheni uvivu๐
Selikavu Kandambili1 Mill broh Gilberto_
Endelea kukaza vidole tu mkuu, utalizoea.Game zuri ila nafungwa hadi nakata tamaa.
Nina week nimeanza kulicheza nilizoea dream league aisee napigwa sasa hivi nacheza na professional huyo isack mda wote anaingia kambani, changamoto niliyonayo kuchenga siwezi pia kuwakaba inakua changamoto sana wenyewe wanapiga chenga na kupress ila mimi siwezi nikigusa tuu wameninyanganya. All in all game zuri.Endelea kukaza vidole tu mkuu, utalizoea.
Aah kumbe una wiki tu mkuu, endelea ujaze hata miezi miwili tayari utakuwa ushalizoea game kaka..Nina week nimeanza kulicheza nilizoea dream league aisee napigwa sasa hivi nacheza na professional huyo isack mda wote anaingia kambani, changamoto niliyonayo kuchenga siwezi pia kuwakaba inakua changamoto sana wenyewe wanapiga chenga na kupress ila mimi siwezi nikigusa tuu wameninyanganya. All in all game zuri.
Niliitoa ngoja nikabebe nijifunze taratbuNdiyo mkuu.
Hiyo siwezi fika hata dvn 3 sahizi mkuu hahahaha....ubaki na ubingwa wakoChallenge mpya mfike vs AI division 1 sasa๐
Naanza kuwapigia kelele acheni uvivu๐
Selikavu Kandambili1 Mill broh Gilberto_
unafungwa ukiwa unacheza pvp, AI au friend matches tu??Game zuri ila nafungwa hadi nakata tamaa.