Wananua coin hao ili upate mchezaji kwa uhakika kwenye box la 150/150 inabidi uwe na atleast coin 10000. Ona bei yenyewe ya coin sasaπ. Angalia bei ya coin sasa πKwamba bila hela hukipati hicho
Mimi ile afu mbili inaniuma adi leoπWananua coin hao ili upate mchezaji kwa uhakika kwenye box la 150/150 inabidi uwe na atleast coin 10000. Ona bei yenyewe ya coin sasaπ. Angalia bei ya coin sasa πView attachment 3310130
Mimi mwenyewe π ila 200k kwa coin 12000 Konami wezi sanaMimi ile afu mbili inaniuma adi leoπ
Halafu kala chuma 3 saafi kwa kikosi ambacho hakina hata thamani zaidi ya coins za konami π.Hapo katumia zaidi ya tsh 1Mπ
Hukipati ng'oo π.Kwamba bila hela hukipati hicho
Na unaweza spin zote usipate kitu π.Mimi mwenyewe π ila 200k kwa coin 12000 Konami wezi sana
Itabidi baadae tupashe nipime majiπHalafu kala chuma 3 saafi kwa kikosi ambacho hakina hata thamani zaidi ya coins za konami π.
Ilibaki kidogo nijichanganye ila nikajiuliza maswali sana, mimi ndo nachezesha haya makatuni kama sijui sijui tu hata niwe na kikosi kikubwa kiasi gani, niliachana na huo mpango baada ya kuona unaweza kutana na mtu kikosi kina 2000+ na ukapigiwa mpira huo mpaka unatamani kuforteit mechi π.Mimi ile afu mbili inaniuma adi leoπ
Kucheza au kutocheza friend match leo inategemea matoke ya mnyama huko zanzibar π.Itabidi baadae tupashe nipime majiπ
Huu wizi ni mwishoMimi mwenyewe π ila 200k kwa coin 12000 Konami wezi sana
Saiv natafuta cheats zake kwa kujuhudi mno kila epic huwa ina cheatsHukipati ng'oo π.
Ubaya ubwela tuu leo ππKucheza au kutocheza friend match leo inategemea matoke ya mnyama huko zanzibar π.
Hamna kitu kama hicho kupata epic ni bahati tuSaiv natafuta cheats zake kwa kujuhudi mno kila epic huwa ina cheats
Zinafanya kazi nina jamaa yangu kapata epic kwa namna hiyo kama wawili hiviHamna kitu kama hicho kupata epic ni bahati tu
Nimekaa pale π.Saiv natafuta cheats zake kwa kujuhudi mno kila epic huwa ina cheats
Ndo nausubiri huu ili nipate nguvu ya kucheza game baada ya mechi π.Ubaya ubwela tuu leo ππ
Naam mkuu.Wakuu
Upo Division mbona πWakuu
Cheza tu saiv kakaNdo nausubiri huu ili nipate nguvu ya kucheza game baada ga mechi π.