eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Aysee kumbe mtu ukiwa na red card lazima ucheze siriazi 😂😂😂💔

Mr Devil superb performance 😂🔥
😹baada ya van dijk kula red, second half nili mvuta costacurta nika muweka apo akawa ana cover eneo la van dijk
Screenshot_20250827_235154_eFootball.jpg
 
View attachment 3455679
Sijawahi cheza game nikatoka magoli 15 labda sikumbuki ila hii, kama rede 😂💔🔥🔥

Refa alivyokupa red akaamuwa kuwa upande wako sasa unanipiga mpaka mitama afu uaachwa tu 😅
😹😹😹 kuna mitama nilkua napiga karbu na box nasema hii red tena
 
Back
Top Bottom