eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Ulifanya makosa mkuu pale ukifika huko pumzika tu jana nimefika hadi 1797 ila sahizi nipo 1700 sijui narudijw noob mimi nateseka
Kaza vidole😃😃me nitalud tuu siku moja nainngia kukamia nalud😃😃

Ukifika 1797 pumzika cheza hata kesho yake mchana hivi😃😃😃badilisha na server weke Only nearby area😃😃😃
 
Aiseh mkuu Selikavu hii imekaaje nlifika 1788 last game akat naongoza ghafla imestack na kuload mwisho wakaniambia handed lost sababu nimeabonden game
 
Attachments

  • Screenshot_2025-08-27-16-28-53-102_jp.konami.pesam.jpg
    Screenshot_2025-08-27-16-28-53-102_jp.konami.pesam.jpg
    328.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_2025-08-27-16-23-52-006_jp.konami.pesam.jpg
    Screenshot_2025-08-27-16-23-52-006_jp.konami.pesam.jpg
    1.5 MB · Views: 5
Kaza vidole😃😃me nitalud tuu siku moja nainngia kukamia nalud😃😃

Ukifika 1797 pumzika cheza hata kesho yake mchana hivi😃😃😃badilisha na server weke Only nearby area😃😃😃
Wamenizingua Hawa jamaa nlikuwa tayar nafika dvn 1 aiseh dah
 
Aiseh mkuu Selikavu hii imekaaje nlifika 1788 last game akat naongoza ghafla imestack na kuload mwisho wakaniambia handed lost sababu nimeabonden game
Kuna mahacker pia wanacheza hilo game😃😃kuna vitrick wanatumia ukiona hivyo mreport opponent kama unaamini Network yako ni strong...

Japo muda mwingine konami wao ndo wanakuwa wana shida
 
Mtalamu wa michezo achezewa 😃😃😃
Sina uzoefu wa michezo mkuu hahahaha
Kuna mahacker pia wanacheza hilo game😃😃kuna vitrick wanatumia ukiona hivyo mreport opponent kama unaamini Network yako ni strong...

Japo muda mwingine konami wao ndo wanakuwa wana shida
Ni noma aiseh nlikuwa naona kabisa badge yangu hahahaha
 
Back
Top Bottom