Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
Shetani kapotea.Vipo huko mbona sisikii milio? 😂
Shetani kapotea.Vipo huko mbona sisikii milio? 😂
😅nme pitiwa usingizi mkuu ,leo tumalize aseeShetani kapotea.
Hata shetani anaogopa pia. 😂Shetani kapotea.
Sawaa😅nme pitiwa usingizi mkuu ,leo tumalize asee
Kanyaga usimuangalie usoni😅Aje na kwangu nimchape😂🙌
😹😹Huyu bingwa ashughulikiwe ameanza kuleta kamdomo😅
Mwendo wa kasongo 😂Vipigo vinakwepeka😂🙌
Akumbushwe alipo huenda amejisahau 😂Huyu bingwa ashughulikiwe ameanza kuleta kamdomo😅
😹we upo training tuliaAkumbushwe alipo huenda amejisahau 😂
😹😹 asingeweza ,Miil Broh ungetuepusha na haya yote kwa kushinda tu nusu fainali😃😃😃