Sawaa mkuu 😅🤣game ya maamuzi tupande kesho
Mechi ya kwanza ulinichokoza 😅 hii mechi ulivyopata lile goli la 5 dakika za mwisho liliniuma sana 😂💔View attachment 3453226
Baada ya kumchapa game ya kwanza naona alienda training 🔥🔥😅 Gilberto_
😹😹😹 nili shtuka mbona una press sana afu me siendi kumbe nili kosea nika weka full blue asee ,Mechi ya kwanza ulinichokoza 😅 hii mechi ulivyopata lile goli la 5 dakika za mwisho liliniuma sana 😂💔
Sijui ulikuwa unawaza nini 😅😹😹😹 nili shtuka mbona una press sana afu me siendi kumbe nili kosea nika weka full blue asee ,
Naona wapiga pasi mmekutana hapoMr Devil NASHUKURU KWA USHIRIKIANO WAKO MKUU😅
View attachment 3453224
We usingekubali hii mechi turudi tena 😅, naongoza aggregate ya 3 lakini ukawasha blue bar
Edo kissy ,Selikavu mje sasa 😅
Pasi muhimu mkuu 😅Naona wapiga pasi mmekutana hapo
Successful pass 220+ walikuwa hawaoni goli lilipo kwan😃🤣🤣Naona wapiga pasi mmekutana hapo
Huyu ndio ninayekujua Mimi hujawahi niangusha😂Mr Devil NASHUKURU KWA USHIRIKIANO WAKO MKUU😅
View attachment 3453224
We usingekubali hii mechi turudi tena 😅, naongoza aggregate ya 3 lakini ukawasha blue bar
Edo kissy ,Selikavu mje sasa 😅
Hata kama ndo successful pas 220Kumbuka waliqeka 15 mins
Hahaha kwani magoli hauyaoni hapo ?😅Successful pass 220+ walikuwa hawaoni goli lilipo kwan😃🤣🤣
Hakika kaka 😅🤞Huyu ndio ninayekujua Mimi hujawahi niangusha😂
We ko dakika 15 ungetoka na pasi zako -100? 😅Hata kama ndo successful pas 220
Successful zisingefika 100 hata😃🤣We ko dakika 15 ungetoka na pasi zako -100? 😅
Magoli machache😃😃Hahaha kwani magoli hauyaoni hapo ?😅
We mviziaji 😄.. sisi muda wote kinanukaSuccessful zisingefika 100 hata😃🤣
Magoli 12 ni machache ?😅Magoli machache😃😃