Mods hawajui ๐คฃ๐คฃ๐คฃSiyo shida zake hizo maana mods wataunganisha nyuzi zote na agabaki na umiliki ๐๐๐
Mzee wa counter target kwenye 1 na 2๐Kuwakumbusha ni muhimu j3 tulivu kibingwaView attachment 3452185๐ฅ๐ฅ๐น Jf champion ๐
View attachment 3452183
๐นana feli wapi sijui ,mlindaji alindwe tena ๐คทโโ๏ธWenzako wanamlinda wonder kid wewe unalinda Anchorman ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Alikaa guardiola match ilio fata ๐Yani Rodri akila red hapo kati atasimama nani?
Hiyo card inalindwa mkuu ๐
Fanyq hivyo mkuu ukilishusha kuna master Kandambili atakupa ABCNgoja nili-download nione kama lina maajabu
Sawa mkuuFanyq hivyo mkuu ukilishusha kuna master Kandambili atakupa ABC
Ndo hapo sasa๐๐๐นana feli wapi sijui ,mlindaji alindwe tena ๐คทโโ๏ธ
Kumekucha
Ni sub ya Camavinga na nikifanikiwa kumpafa yule Kokcu basi Amrabat anaenda reserve kabisa.Amrabat kiungo mvunja kuni
Hii nzuri ๐๐Selikavu wazo hili hapa kwa nini tusiwe tuna rotate ligi yenye smart assist na ambayo haina smart assist. Wakuu mnaonaje hii?
Saa nne utakuwepo??Mkuu za majukumu...
Tukutane saa ngapi kaka?