Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
😃🔥 hongera mkuu😹😹😹😹 mabingwa Selikavu Gilberto_ Kumbe uku kuna baridii kali hiv View attachment 3451854 golden boy View attachment 3451859WINNER 🏆
😃🔥 hongera mkuu😹😹😹😹 mabingwa Selikavu Gilberto_ Kumbe uku kuna baridii kali hiv View attachment 3451854 golden boy View attachment 3451859WINNER 🏆
Unastahili ubingwa😹kaka ume badilika sana huo mfumo sio ule tulio cheza wakati ule, nme ingia kwa umakini sana ila hadi nika relax ikabidi nichezee mkono mmoja
Dvn sina mzuka napo, nilikuwa nazingatia hizo badge wakati naanza game 😂
Shetani katubu 😂😹😹😹😹 mabingwa Selikavu Gilberto_ Kumbe uku kuna baridii kali hiv View attachment 3451854 golden boy View attachment 3451859WINNER 🏆
Asante sana 🤝Hongera mkuu.
Asante sana 😅😅 itabidi nipumzike kama mabingwa wenzanguShetani katubu 😂
Hongera mkuu.
😅😅 nakubali 🤝🤝😃🔥 hongera mkuu
Hongereni kwa game kali wakuu😹😹😹😹 mabingwa Selikavu Gilberto_ Kumbe uku kuna baridii kali hiv View attachment 3451854 golden boy View attachment 3451859WINNER 🏆
Komaen bhana😃😃😃😹😹hii nayo ina taka uvumilivu , kupanda na kushuka kuna chosha
Nimerudi 700 aiseh hii vita siwez had npate beki wa kueleweka hahahahKomaen bhana😃😃😃
Hongera sana Mkuu😃 Welcome to the JF hall of Fame😃😹😹😹😹 mabingwa Selikavu Gilberto_ Kumbe uku kuna baridii kali hiv View attachment 3451854 golden boy View attachment 3451859WINNER 🏆
Me sijapumzika kaka network nilipo ni mbovu .Asante sana 😅😅 itabidi nipumzike kama mabingwa wenzangu
Chuma hicho ila nitapiga mabuti na wote ila huyu namlinda 😂Rodri ana piga buti😅View attachment 3451917
Umeongea kwa hisia sana mkuu😂🙌 tukazee
Wenzako wanamlinda wonder kid wewe unalinda Anchorman 🤣🤣🤣Chuma hicho ila nitapiga mabuti na wote ila huyu namlinda 😂
😃😃😃Mwenye uzi huna bade ta division one tutauacha uzi tuanzishe wetu🤣🤣🤣🤣Umeongea kwa hisia sana mkuu😂🙌 tukazee
Yani Rodri akila red hapo kati atasimama nani?Wenzako wanamlinda wonder kid wewe unalinda Anchorman 🤣🤣🤣
Siyo shida zake hizo maana mods wataunganisha nyuzi zote na agabaki na umiliki 😂😂😂😃😃😃Mwenye uzi huna bade ta division one tutauacha uzi tuanzishe wetu🤣🤣🤣🤣