ππ₯ hongera mkuuπΉπΉπΉπΉ mabingwa Selikavu Gilberto_ Kumbe uku kuna baridii kali hiv View attachment 3451854 golden boy View attachment 3451859WINNER π
Unastahili ubingwaπΉkaka ume badilika sana huo mfumo sio ule tulio cheza wakati ule, nme ingia kwa umakini sana ila hadi nika relax ikabidi nichezee mkono mmoja
Dvn sina mzuka napo, nilikuwa nazingatia hizo badge wakati naanza game πItakuwa ni dhahama Kandambili kupata badge ya division one kabla ya hawa wafuataoπππ
Mr Devil
Edo kissy
Pamela Mamtu πππ
Hii phase ikiisha sijui mtatuambia nini hasa mr Devil mmekosaje badge ya division one
Kazen bhana nyie wakongwe humu division mnafika mbona vizuri kabisaπππ
Shetani katubu ππΉπΉπΉπΉ mabingwa Selikavu Gilberto_ Kumbe uku kuna baridii kali hiv View attachment 3451854 golden boy View attachment 3451859WINNER π
Asante sana π€Hongera mkuu.
Asante sana π π itabidi nipumzike kama mabingwa wenzanguShetani katubu π
Hongera mkuu.
π π nakubali π€π€ππ₯ hongera mkuu
Hongereni kwa game kali wakuuπΉπΉπΉπΉ mabingwa Selikavu Gilberto_ Kumbe uku kuna baridii kali hiv View attachment 3451854 golden boy View attachment 3451859WINNER π
Komaen bhanaππππΉπΉhii nayo ina taka uvumilivu , kupanda na kushuka kuna chosha
Nimerudi 700 aiseh hii vita siwez had npate beki wa kueleweka hahahahKomaen bhanaπππ
Hongera sana Mkuuπ Welcome to the JF hall of FameππΉπΉπΉπΉ mabingwa Selikavu Gilberto_ Kumbe uku kuna baridii kali hiv View attachment 3451854 golden boy View attachment 3451859WINNER π
Me sijapumzika kaka network nilipo ni mbovu .Asante sana π π itabidi nipumzike kama mabingwa wenzangu
Chuma hicho ila nitapiga mabuti na wote ila huyu namlinda πRodri ana piga butiπ View attachment 3451917
Umeongea kwa hisia sana mkuuππ tukazeeItakuwa ni dhahama Kandambili kupata badge ya division one kabla ya hawa wafuataoπππ
Mr Devil
Edo kissy
Pamela Mamtu πππ
Hii phase ikiisha sijui mtatuambia nini hasa mr Devil mmekosaje badge ya division one
Kazen bhana nyie wakongwe humu division mnafika mbona vizuri kabisaπππ
Wenzako wanamlinda wonder kid wewe unalinda Anchorman π€£π€£π€£Chuma hicho ila nitapiga mabuti na wote ila huyu namlinda π
πππMwenye uzi huna bade ta division one tutauacha uzi tuanzishe wetuπ€£π€£π€£π€£Umeongea kwa hisia sana mkuuππ tukazee
Yani Rodri akila red hapo kati atasimama nani?Wenzako wanamlinda wonder kid wewe unalinda Anchorman π€£π€£π€£
Siyo shida zake hizo maana mods wataunganisha nyuzi zote na agabaki na umiliki ππππππMwenye uzi huna bade ta division one tutauacha uzi tuanzishe wetuπ€£π€£π€£π€£