Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,989 Reaction score 10,396 Aug 22, 2025 Thread starter #11,141 Selikavu said: Ushauri bora aende na Razorblade wakati injury ipo on yamkin Doue atakuwa ameumia🤣🤣 Click to expand... Aje tu akiwa mzima nimetrain vya kutosha😂
Selikavu said: Ushauri bora aende na Razorblade wakati injury ipo on yamkin Doue atakuwa ameumia🤣🤣 Click to expand... Aje tu akiwa mzima nimetrain vya kutosha😂
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Aug 22, 2025 #11,142 Corrie de killer said: Pamoja nakuweka back five full defensive bar.. nilikuwa naokota magoli kwenye nyavu tu. Click to expand... 😃😃😃Victor osimenh second half York🤣🤣
Corrie de killer said: Pamoja nakuweka back five full defensive bar.. nilikuwa naokota magoli kwenye nyavu tu. Click to expand... 😃😃😃Victor osimenh second half York🤣🤣
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Aug 22, 2025 #11,143 Selikavu said: Ushauri bora aende na Razorblade wakati injury ipo on yamkin Doue atakuwa ameumia🤣🤣 Click to expand... 😂😂😂 huyo Doue ndo namtaka sasa, ambulance iwepo uwanjani 🚑
Selikavu said: Ushauri bora aende na Razorblade wakati injury ipo on yamkin Doue atakuwa ameumia🤣🤣 Click to expand... 😂😂😂 huyo Doue ndo namtaka sasa, ambulance iwepo uwanjani 🚑
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Aug 22, 2025 #11,144 It seems match up is matching again😃😃 Or its just improvement in my kabalingi instinct🤣🤣🤣
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,989 Reaction score 10,396 Aug 22, 2025 Thread starter #11,145 Selikavu said: It seems match up is matching again😃😃 Or its just improvement in my kabalingi instinct🤣🤣🤣 Click to expand... Kitambo kaka hujanifunza nakuomba room🤭
Selikavu said: It seems match up is matching again😃😃 Or its just improvement in my kabalingi instinct🤣🤣🤣 Click to expand... Kitambo kaka hujanifunza nakuomba room🤭
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Aug 22, 2025 #11,146 Selikavu said: It seems match up is matching again😃😃 Or its just improvement in my kabalingi instinct🤣🤣🤣 Click to expand... Huenda wameigusa kidogo ifanye kazi, ukiangalia uhalisia wa beki zinavyokaba sasa hivi ni tackling sana ndiyomaana nao wameipa nguvu tackling.
Selikavu said: It seems match up is matching again😃😃 Or its just improvement in my kabalingi instinct🤣🤣🤣 Click to expand... Huenda wameigusa kidogo ifanye kazi, ukiangalia uhalisia wa beki zinavyokaba sasa hivi ni tackling sana ndiyomaana nao wameipa nguvu tackling.
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Aug 22, 2025 #11,147 Edo kissy said: Kitambo kaka hujanifunza nakuomba room🤭 Click to expand... Nina mission moja haya ya kufika division one leo ngoja niimalize japo konami wamejua kuninyoosha😃😃 Then nakuludia kaka Maana kuanzia leo usiku muda wangu wa game utakuwa very limited
Edo kissy said: Kitambo kaka hujanifunza nakuomba room🤭 Click to expand... Nina mission moja haya ya kufika division one leo ngoja niimalize japo konami wamejua kuninyoosha😃😃 Then nakuludia kaka Maana kuanzia leo usiku muda wangu wa game utakuwa very limited
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,989 Reaction score 10,396 Aug 22, 2025 Thread starter #11,148 Kumbe Kuna update tena na hamjasema😂😂🙌
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,989 Reaction score 10,396 Aug 22, 2025 Thread starter #11,149 Selikavu said: Nina mission moja haya ya kufika division one leo ngoja niimalize japo konami wamejua kuninyoosha😃😃 Then nakuludia kaka Maana kuanzia leo usiku muda wangu wa game utakuwa very limited Click to expand... Sawa kaka.
Selikavu said: Nina mission moja haya ya kufika division one leo ngoja niimalize japo konami wamejua kuninyoosha😃😃 Then nakuludia kaka Maana kuanzia leo usiku muda wangu wa game utakuwa very limited Click to expand... Sawa kaka.
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Aug 22, 2025 #11,150 Edo kissy said: View attachment 3448932 Kumbe Kuna update tena na hamjasema😂😂🙌 Click to expand... Hii nini tena aisee?
Edo kissy said: View attachment 3448932 Kumbe Kuna update tena na hamjasema😂😂🙌 Click to expand... Hii nini tena aisee?
Gilberto_ JF-Expert Member Joined Aug 29, 2024 Posts 904 Reaction score 2,514 Aug 22, 2025 #11,151 Mill broh nilipigiwa mzee 😀🥴
Gilberto_ JF-Expert Member Joined Aug 29, 2024 Posts 904 Reaction score 2,514 Aug 22, 2025 #11,152 Razorblade said: Hii nini tena aisee? Click to expand... Mb 60 tu
Mill broh JF-Expert Member Joined Jul 30, 2023 Posts 346 Reaction score 816 Aug 22, 2025 #11,153 Gilberto_ said: Mb 60 tu Click to expand... Tutaendelea night sahizi network jau
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,989 Reaction score 10,396 Aug 22, 2025 Thread starter #11,154 Razorblade said: Hii nini tena aisee? Click to expand... Update mdogo tu tu mbs 64😂
Gilberto_ JF-Expert Member Joined Aug 29, 2024 Posts 904 Reaction score 2,514 Aug 22, 2025 #11,155 Mill broh said: Tutaendelea night sahizi network jau Click to expand... Powa
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,989 Reaction score 10,396 Aug 22, 2025 Thread starter #11,156 Gilberto_ said: Powa Click to expand... Twende huku😂
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Aug 22, 2025 #11,157 Gilberto_ said: Mb 60 tu Click to expand... Hapo inabidi nifute game na kulishusha tena. Wameboresha/kurekebisha nini kwani?
Gilberto_ said: Mb 60 tu Click to expand... Hapo inabidi nifute game na kulishusha tena. Wameboresha/kurekebisha nini kwani?
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,152 Reaction score 10,393 Aug 22, 2025 #11,158 Edo kissy said: Update mdogo tu tu mbs 64😂 Click to expand... Mkuu hizo nyingi kwenye storage yangu, hapo inabidi nilifute kwanza 😂
Edo kissy said: Update mdogo tu tu mbs 64😂 Click to expand... Mkuu hizo nyingi kwenye storage yangu, hapo inabidi nilifute kwanza 😂
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Aug 22, 2025 #11,159 Edo kissy said: View attachment 3448932 Kumbe Kuna update tena na hamjasema😂😂🙌 Click to expand... Wakati nawaambia match up inafanya kazi ulifikiri imekuja tuu😃😃
Edo kissy said: View attachment 3448932 Kumbe Kuna update tena na hamjasema😂😂🙌 Click to expand... Wakati nawaambia match up inafanya kazi ulifikiri imekuja tuu😃😃
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Aug 22, 2025 #11,160 Razorblade said: Mkuu hizo nyingi kwenye storage yangu, hapo inabidi nilifute kwanza 😂 Click to expand... Futa apps nyingine kaka
Razorblade said: Mkuu hizo nyingi kwenye storage yangu, hapo inabidi nilifute kwanza 😂 Click to expand... Futa apps nyingine kaka