Kuna raha ya kutumia Id zetu hizi hizi😃😃 Whatsapp hainogi.. maana kama groups za Whatsapp me Ninazo nyingi tuu za efootball😂😂 tungepata group wasap ingefaa humu kupatana ni ngum sana
Hajacheza mechi hata moja😃😃Nimempitaje Alexander 😀
Unataka nipande mtumbwi wa kurudi nchi kavu mkuu hahahaah 🤣🤣🤣Au unamtaka masta Kandambili
Au awe anatuangalia online atupe inviteKuna raha ya kutumia Id zetu hizi hizi😃😃 Whatsapp hainogi.. maana kama groups za Whatsapp me Ninazo nyingi tuu za efootball
Sema ni muda saa nne usiku humu ndo kunawaka😃😃ukija hukosi mechi...
Kwa hiyo zoea hiyo mida saa nne usiku kila siku uwepo
Yule totti analindwa sana hachezi hovyo hovyo😃😃Au awe anatuangalia online atupe invite
Sina mpango wa kukufunga, we ukija uwanjani andaa ambulance tu 😂Afadhali nifungwe na mtaalamu Kandambili1 kuliko mtani
Yani wamefanya makosa sana kuizima match up na kuiwasha tackling 😂Nilikuwa naingia training kwaajili ya kukwepa mabuti nakutana na maintenance hasa basi nimeumia.
Hakuna neno kabisa mkuu 😂Razorblade tuta panda friendly match leo 😅😅
Ukitoka kwanza kwangu kubeba point zako ndio uende huko🙌Razorblade tuta panda friendly match leo 😅😅
Saa 5 hivi uchukue ushindi wako😀Sangapi unifunge
Liwalo na liwe tu 😄UmejiandaajeView attachment 3448836
Pamoja nakuweka back five full defensive bar.. nilikuwa naokota magoli kwenye nyavu tu.UmejiandaajeView attachment 3448836
Nijiandae kisaikolojiaSaa 5 hivi uchukue ushindi wako😀
Ushauri bora aende na Razorblade wakati injury ipo on yamkin Doue atakuwa ameumia🤣🤣Ukitoka kwanza kwangu kubeba point zako ndio uende huko🙌