Corrie de killer
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 240
- 736
NashirikiWarld , Alexander Lukashenko Razorblade NEGAN Edo kissy Kandambili1 Corrie de killer Mill broh Mr Devil View attachment 3443880
MTASHIRIKI? Naomba feedback zenu mpaka badae nitume fixture.. ambae hatoshiriki hii ligi aseme mapema na atakaeshiriki pia aseme!
Kandambili1 ata bonda sana watu make ata kukaba akusomeki 😹Nishapigwa game 3 mfululizo, naenda tena ila sasa naweka back 5 😂
Game limekuwa baya yani hakuna ushindani maana mtu akipata mpira ni clear/through baasi kwisha, beki zipo kuongeza idadi ya vivuli uwanjani 😂😂😂
😹😹 ii game nilicho ona saivi badala ya kukaba inabidi usome atapo peleka pass badala ya kupeleka mchezaje ku tackle we una mpeleka unapo hisi ata peleka pass ui block
Alhamisi update watarudisha kawaida inakuaga hivi kila new season watu wanalia baada ya update 2 linatudi kawaida.
Ndo ipo hivyo mkuu, match inazuia njia, dash ndo inayofanya kazi ya kukaba/kupora mpira.😹😹 ii game nilicho ona saivi badala ya kukaba inabidi usome atapo peleka pass badala ya kupeleka mchezaje ku tackle we una mpeleka unapo hisi ata peleka pass ui block
Ngoja tuone.Alhamisi update watarudisha kawaida inakuaga hivi kila new season watu wanalia baada ya update 2 linatudi kawaida.
NiwepoWarld , Alexander Lukashenko Razorblade NEGAN Edo kissy Kandambili1 Corrie de killer Mill broh Mr Devil View attachment 3443880
MTASHIRIKI? Naomba feedback zenu mpaka badae nitume fixture.. ambae hatoshiriki hii ligi aseme mapema na atakaeshiriki pia aseme!
Uje uwanjani mkuuView attachment 3444331
Ahshante shana konami kwa neema hii mliyonipatia, 2 wins ni neema kubwa sana 😂
View attachment 3444333
Wakuu twendeni huku kutrain hii update, match up haikabi ila inakaba njia tu bila kumsogelea mchezaji pinzani, dash ndiyo inayoenda kupora mpira ukiwa tayari umedhibi njia.
Tuache kazi tufanye kazi 😂😂😂
Simu ipo charge mkuu, baadae tunaweza gusa.Uje uwanjani mkuu
Mkuu namimi sielewi inaendaje endaje hadi sasaKandambili1 ata bonda sana watu make ata kukaba akusomeki 😹
Ya shuti 😅
Hii update ya moto sana pro anakuwa noob na noob anakuwa pro 😂Ya shuti 😅
Tatizo linahamia huku 😂WASHIRIKI 10, MECHI 6 WATAFUZU 8. HAKUTOKUWA NA PLAYOFFS.
KO WA 9-10 WATAKUWA ELIMINATED.
Alexander Lukashenko Corrie de killer Edo kissy Mill broh Mr Devil Issakson makanga NEGAN Razorblade Kandambili1 Warld View attachment 3444654
Naona nafasi yangu imeiva tayari apo noshakaa kwenye msimamo mapema hahahaWASHIRIKI 10, MECHI 6 WATAFUZU 8. HAKUTOKUWA NA PLAYOFFS.
KO WA 9-10 WATAKUWA ELIMINATED.
Alexander Lukashenko Corrie de killer Edo kissy Mill broh Mr Devil Issakson makanga NEGAN Razorblade Kandambili1 Warld View attachment 3444654