eFootball Special Thread

Leo simu imetumika masaa 10+, sijawahi cheza game muda mwingi hivi 😂

Sijawahi shinda goli la namna hii na huenda nisishinde tena kama hivi, sijui nimepigaje yani nimeshangaa naona nyavu zinatikisika 😂😂😂



Kwa hizi stats nadhani mpira uliochezwa hapo unajulikana



Jini katoka ila mganga yuko hoi, sasa ndo safari rasmi inaanza 😂😂😂

Napumzika kwanza vidole vinanyevua 😂🙌
 
Bado hujasema🤣🤣
 

Nilichogundua bada ya hii update ukipata viberenge wako wawili pale mbele.. kwishaa umeshinda.

Mana Mbappe akipata tu mpira humkuti tena, na saivi nimezoea kucheza na zile One-Two passes 😄

We Razorblade nakuchawia utacheza mechi 50+ ndo uvuke hapo 3 kwenda 2 😅
 
Unionee huruma mkuu, kufika hapo nimehangaika masaa 10+ 😂
 
Kuna mtu nilikutana nae ana Owen na mbappe pale mbele owaa ni balaaa... Nan mimi niliweka mbona🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…