Hahahaha vita ni kali aisee mpaka division 5😅☠️Mkuu nilikuwa nauhakika na mechi zangu chache tu niende dvn 3 nikaumane, kilichotokea sasa nimeshushwa dvn 5 😂
Kahn kwangu simsemi vibaya anajitahidi ila hili tukio la leo kanifurahisha, yani kaacha goli halafu kaanza kufoka au sijui alikuwa anashangilia alivyopangua lile shuti mpaka muda huu sijamuelewa alikusudia nini 😂😂😂
Acha tu mkuu hiyo match up nayo kichomi 😂Hahahaha vita ni kali aisee mpaka division 5😅☠️
Ulitaka🤣🤣View attachment 3442885
Hii card kumbe ni CP, hanifai 🚮
Ubahili tu😀View attachment 3442885
Hii card kumbe ni CP, hanifai 🚮
Siitaki tena 😂Ulitaka🤣🤣
Mkuu nimefatilia vizuri, hawa creative playmaker siyo wazuri kwenye counter(wako slow).Ubahili tu😀
Apa ni ume nyanyaswaEeh kaka hii game nikasema umenifunga kisa Uwanja🤣🤣🤣View attachment 3442593
Iliyofata ukaweka pitch nzuri si ndo nikafa sita🤣🤣🤣View attachment 3442594
Aah hii update mpya siielewi kabisaApa ni ume nyanyaswa
Sio wewe tu nakosa magoal sana,Aah hii update mpya siielewi kabisa
Me division one ni mbali kwel🤣🤣🤣Sio wewe tu nakosa magoal sana,
Mbona kama nimeona classic no. 10😒Razorblade Kwanza isco mwenyewe ni creative playmaker
Mbona mapema sana mkuu, 😃isco mwenyewe wa kawaida mbovu kweli kweli nimeachana nae🙌😀
Duh ngoja nikaze basi😀Mbona kama nimeona classic no. 10😒
Hali sio😀Mbona mapema sana mkuu, 😃
Dvn kubaya, ni kukandwa tu 😂Razorblade Kwanza isco mwenyewe ni creative playmaker
Ni Creative mwenye visionary passMbona kama nimeona classic no. 10😒
Sio pow😃😃Dvn kubaya, ni kukandwa tu 😂
Hawa wengine wanatumia pad naona 😂