eFootball Special Thread

Selikavu tutaendelea kesho mkuu, mpaka vidole vinataka kuuma😅
🤣🤣🤣Sawaa kaka kesho nadhan nitaendelea na formula ile ile test your own medicine 🤣🤣🤣haiwezekan uniwekee DMF Watatu sheikh unataka nipite wap🤣🤣


Sema huyo Osimenh mbona anafunguka hivyo 😃🔥

Yan kama vile nakaba Etoo au Rumminegga
 
Haikuwa siku yako nzuri leo😅
Hapana ...

Mfumo wako umenishika😃😃😃


Nilibadilisha kulud Quick Counter sasa ni kitambo na nimebadilisha gia angani inabid nizoee sasa QC maana hii update naona QC ndo ina balaa...😃😃🔥


Nashukuru umenipa mfumo🤣🤣🤣nitaendelea nao hivyo hivyo na Alonso
 
Nilikuona tu man unachange formation ulianza na 4222😀
 
Nilikuona tu man unachange formation ulianza na 4222😀
NIlianza Division formation yangu ya 433 ikakataa nikala vipigo nikalud 4222 nikawa nashinda hivyo hivyo...

Nimekuja kwako game ya kwanza nimepotea mazima nikalud kwenye QC maana niliona kabisa LBC haifui dafu😃😃😃
 
Inamaana huku kukata kwa game ndiyo script mpya au maana unaongoza wewe vizuri halafu game inakata ghafla, mechi 2 nimetoa loss kwa style hii 😂

Haya sasa tukio la ajabu lilitokea leo mnaweza msiamini ila Kahn kafanya ushenzi, limepigwa shuti kapangua vizuri sasa badala awahi mpira sijui ndo kaanza kujimwambafai au alikuwa anafoka huku kaacha goli wazi daah jamaa kaja kashinda kilaini mpaka nikawa nacheka 😂

Halafu kuna huyu mpuuzi nilitaka kumreport ila nilivyoona maneno kuwa siyo guarantee wao kuchunguza taarifa zote nikaghairi 😡

Tumeanza mechi tu nikamfunga mara hapohapo naona inaload kisha nikapewa loss dadeki 😂
 
Sio poa me mwenyewe ilishantokea leo ,
Na inatokea mara nyingi ukiwa unaongoza 😭

Kahn nilisikia watu wengi wanalalamika kwamba ni pazia😅
 
Sio poa me mwenyewe ilishantokea leo ,
Na inatokea mara nyingi ukiwa unaongoza 😭

Kahn nilisikia watu wengi wanalalamika kwamba ni pazia😅
Mkuu nilikuwa nauhakika na mechi zangu chache tu niende dvn 3 nikaumane, kilichotokea sasa nimeshushwa dvn 5 😂

Kahn kwangu simsemi vibaya anajitahidi ila hili tukio la leo kanifurahisha, yani kaacha goli halafu kaanza kufoka au sijui alikuwa anashangilia alivyopangua lile shuti mpaka muda huu sijamuelewa alikusudia nini 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…