π€£π€£π€£Alafu mbona natumia sana hilo neno basi tu umeunganisha matukio ukaona linakuhusu ila ni kawaida...Mkuu nimeanza kuwa sheikh tena? π
Halafu ile about yako naona imekaa kimkakati, vipi ni mulemule au umeghushi? πππ
NIPOTano gan tenaππ
Leo jion mkuu nilipo network mbovu mpaka Line ya TTCL na sijaatembea nayo
Nights tupande kaka kama utakuwepo
Siyo kwamba nimeunganisha matukio ila nilikuwa napiga hesabu huyu jangili na hii about wapi na wapi, imebidi niulize kwanza ππππ€£π€£π€£Alafu mbona natumia sana hilo neno basi tu umeunganisha matukio ukaona linakuhusu ila ni kawaida...
Kuhusu about nimegushi tuuπ€£π€£
Naimani watafix hizi issue zote, inaonekana imekuwa tatizo kwa wengi.gameplay kwangu naona inashida bado....hivi huwa katikati wanabadilisha kwenye update au ndo moja kwa moja wakuu
Defence shida, pia game play sio kama ya hapa majuzi
Sio poa mkuu.....mzuka wa game umekata hivi ....sema card ya Rodri wa Bure ni ya moto sana sanaNaimani watafix hizi issue zote, inaonekana imekuwa tatizo kwa wengi.
Mbona hata huku natumia hiyo hiyoππSiyo kwamba nimeunganisha matukio ila nilikuwa napiga hesabu huyu jangili na hii about wapi na wapi, imebidi niulize kwanza πππ
Card ipo vizuri sana ile.Sio poa mkuu.....mzuka wa game umekata hivi ....sema card ya Rodri wa Bure ni ya moto sana sana
Inakuwa kama real pes nowππupate friendly nyingigameplay kwangu naona inashida bado....hivi huwa katikati wanabadilisha kwenye update au ndo moja kwa moja wakuu
Defence shida, pia game play sio kama ya hapa majuzi
Umeshaichukua??Sio poa mkuu.....mzuka wa game umekata hivi ....sema card ya Rodri wa Bure ni ya moto sana sana
Uache kuniita sheikh, usijenikosesha pamela mamtu πππMbona hata huku natumia hiyo hiyoππ
Tutalizoea tu.Inakuwa kama real pes nowππupate friendly nyingi
Sawaa Sheikh ππUache kuniita sheikh, usijenikosesha pamela mamtu πππ
π€£π€£π€£ Sio kuichukua tu mkuu hadi nimeitumia tayari...Umeshaichukua??
labda nitazoea leo nimeona kama naomudu hivi kwenye AI eventsInakuwa kama real pes nowππupate friendly nyingi
Aah sawaa mkuuπ€£π€£π€£ Sio kuichukua tu mkuu hadi nimeitumia tayari...
Yupo vizuri speed 80 kwangu amefika 101
Eeh na week ijayo league itatunyoosha vizurilabda nitazoea leo nimeona kama naomudu hivi kwenye AI events
Khalas πSawaa Sheikh ππ