eFootball Special Thread

Mi asubuhi division kuna mechi ilijikata tu yenyewe game likaanza upya.. hili game bado halijakaa sawa.

Ukabaji ndo hovyo kabisa, matchup kama dash tu
Ukabaji wa kishenzi mno😃😃😃

Makipa mapazia 🤣🤣🤣


Kuna goal nimefunga jana nikachek tuu

Nimepiga through kipa katoka nikajua anaucheza mpira et akaukosa mchezaji wangu akauchukua akafunga🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…