Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Ndo hata tetesi?Mkataba wake mzito๐๐
Nlitaka unifundishe kaka ๐๐๐น๐น mjukuu11 unataka kuni angamiza kuingia tu 2026 una nipiga invite
Huu ushauri ilitakiwa niupate mapema๐ขUkichagua region kuna baadhi ya event hauchezei team za Europe
Niliona sana hii kwenye account ya Japan
Kama uliweka Brazil hapo tafuta card za league ya brazili za kutosha pale kwenye nominating contract kwenye event za hivyo unawaweka wao kidogo unapata bonus points kubwa..
Pia unaweza nunua hata wa GP ili upandishe point mapema upewe chance deal
Outwide team inapasuka kati kati๐Hii Outwide defense yake mbona siielewi..
Ila game limebadilika sana makipa wanafungika kama kwenye Ps๐๐
Au kwa sababu sijakutana na khan
Kumbe kwa hiyo team inacheza sana pembeniOutwide team inapasuka kati kati๐
Kocha noma sana yule๐๐Ndo hata tetesi?
Hamna kocha pale zaidi ya tapeli tu ๐
Hakuna kilichoharibika kaka๐una siku 365 mwakan utachange tuu..Huu ushauri ilitakiwa niupate mapema๐ข
Ndio wachezaji wanatanua uwanja. Ubaya unakuja through ball moja kati kati mtu anakufunga๐Kumbe kwa hiyo team inacheza sana pembeni
Nimecheza link up ya Dimarco Cross specialist na Fox in box Halaand aseee๐๐๐Outwide team inapasuka kati kati๐
Alafu Fox yupo pale Ruud Van nestrooy๐๐afu sita yako tuu๐๐sema sijajua heading atakuwajeNdio wachezaji wanatanja uwanja. Ubaya unakuja through ball moja kati kati mtu anakufunga๐
Ana Booster ya Aerial pale ,๐๐๐anakufaa kwa majaribio ya link upAlafu Fox yupo pale Ruud Van nestrooy๐๐afu sita yako tuu๐๐sema sijajua heading atakuwaje
Hakuna cha kuwai hata๐๐Yani mpaka dakika hii sijafanya update na sijui nitafanya saa ngapi ๐
Hamia Outwide ๐Nimecheza link up ya Dimarco Cross specialist na Fox in box Halaand aseee๐๐๐
Basi tuu Outwide ni ushenzi ila combo tamu sana๐๐๐ Dimarco akishika mpira tuu Halaand ananyanyua mkono baba mwaga majaro๐๐๐
Tatizo siyo kuwahi, tatizo muda wangu wa kuwa na simu ni night.Hakuna cha kuwai hata๐๐
Labda baston wa 94 ambaye ni Extra front man
Hamfikii van basten wala haaland nadhaniAlafu Fox yupo pale Ruud Van nestrooy๐๐afu sita yako tuu๐๐sema sijajua heading atakuwaje
Huyo Ruud hamna kazi, nitafute afu 2 ya beki tu ๐Hamfikii van basten wala haaland nadhani
Hivi card hii na ile iliyopita ipi inastats nzuri?Rodri ana speed 80. Hatimaye nitumie card ya Rodri sasa