Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,124
- 2,982
π€£π€£π€£π€£ Kwamba ktu kama hicho jamaa wanajua hakipo.....naona na mater league itakuwepo kwa mujibu......tho Haina tofauti sana na hii ngoja tuone.Tunavyojiandaa kubadilishana wachezaji πππkonami wapo tuu wanatuangalia
Amrabat???Mimi nitamuomba huyo mkuu na Amrabat
Mjadala wa Amrabat ufungwe πAmrabat hawezi kupa ππ
Usimuwaze huyo mkuu, HAUZWI πmbona niliona hamtumii hivi karibuni mkuu hahaha
Negan huyoππView attachment 3440118
Smart assist ni janga la wengi, halafu hilo jina limekaa kibongo kabisa πππ
Me mwenyewe nimechekaππ
Naona ni yeye kabisa πNegan huyoππ
Inasikitisha sana πππMe mwenyewe nimechekaππ
Imeanza leo mpk keshonaingia online nakutana na maintenance me nilizani ni kesho
Hh nijiandae na wi-feImeanza leo mpk kesho
Gb 2.7Hh nijiandae na wi-fe
Ni noma hahahaImeanza leo mpk kesho
Ni shughuli hapa inabid nitafute simu niweke PUBGNi noma hahaha
Kimeumana, walau leo nitalala mapema πNi shughuli hapa inabid nitafute simu niweke PUBG
Acha tuu mzeeKimeumana, walau leo nitalala mapema π
Oya hii update ya 2026 ni π₯Acha tuu mzee