Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,107
- 2,922
Itakuwa ya moto sana mkuu....Embu tongojee update wanadai kutakuwepo na option ya kuexchange players
Mimi nitamuomba beckhamNEGAN kama wakileta hiyo ya kuexchange players Ngolo kante basiπππutanipa bei
Kesho saa tanoHiv update leo usiku au kesho
Amna kipind wamewaleta akina Owen tulifanya comparisonNgoja nitamjaribu mkuu...hahahaha kumbe unaangalia kikosi changu
Huyo nitakupa tuuππMimi nitamuomba beckham
Konami wangetupa interface na wachezaji wengine kuuziana wachezaji... Mfano mm nalipia coin 400 kwa selikavu kwaajili ya Owen etc Muuzaji anaamua kuuza au kuset higher price ingekuw unyama sana...sema mabwanyenye wangekuwepo kibao
Unahisi mtu atataka coins ngapi ili akuuzie mchezaji?Embu tongojee update wanadai kutakuwepo na option ya kuexchange players
Kwa coins hizi 500? Bora iende tu πWe mzee tupia coin pack ya cr7 kabla haija expireπ
Najua hiloππ ndo maana nimewaiNingekupa kwa coin 100 maana hata simtumiiπ
Huyo jamaa ni mchagaWe mzee tupia coin pack ya cr7 kabla haija expireπ
Ngoja tuone πWe ngojea update ππ
Wamuweke CR7 halafu auzwe 5k uone kama hutomkuta kikosini πHuyo jamaa ni mchaga
Guardiola wa Elfu mbili tu hakutoaπ€£π€£π€£
Yan wakuwekee 106 kwa elfu tano wakati kuna watu wamepata kww almost 300kππWamuweke CR7 halafu auzwe 5k uone kama hutomkuta kikosini π
Kwani wao hawalijui hilo?Yan wakuwekee 106 kwa elfu tano wakati kuna watu wamepata kww almost 300kππ
Kwani wao hawalijui hilo?
Kuna watu wamempata kwa free spin πππ
Ya moto sana.... kuishi vizuri na watu ndo kutafanya tuenjoy hili game aiseg