Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,947
- 12,388
Ngoja aje ๐Comred kalala ๐๐
Hii vita ni kali sana๐Hatuzimi smart assist ๐๐
Jamhuri ya Smart assist tutaandamana ๐๐๐๐ Tutaendelea kupambana ila siku wakija kutoa usilalamike๐๐๐
Kuna magoli unafungwa unasema hapa smart assist imefanya yake๐๐๐Hii vita ni kali sana๐
Tutakuwepo ๐๐Jamhuri ya Smart assist tutaandamana ๐๐
Through balls za smart assist ni shida ๐๐๐Kuna magoli unafungwa unasema hapa smart assist imefanya yake๐๐๐
Na vile vi deibble mshenzi๐Kuna magoli unafungwa unasema hapa smart assist imefanya yake๐๐๐
Acha tuu ni kasheshe ๐๐๐Through balls za smart assist ni shida ๐๐๐
Vidribble mshenzi vile mtu ankuwekea mkono kabisa kukuzuia na hakosei direction ๐๐๐VinakeraNa vile vi deibble mshenzi๐
Ooh tulisema ikiisha hii league tutaendelea after updates
Afu leo Benfica tunafanya pared ya kombe letu muwepo๐๐๐
selikavu anataka tusahau yeye ndo bingwa pro safari hii.Dadeq
๐นgoali lina pingana na physics kabisa, mtu ana funga goal kama jiniKuna magoli unafungwa unasema hapa smart assist imefanya yake๐๐๐
Hakuna kitu mnaniambia nitawaelewaselikavu anataka tusahau yeye ndo bingwa pro safari hii.
Maswala ya Ai hayo๐๐๐๐นgoali lina pingana na physics kabisa, mtu ana funga goal kama jini
na kiwake mkuu.... Hamna shida nakuja pokea darasa .Shivooo Kandambili1 leo saa 4 tuna match pale Johan Cruyff Arena๐ฅ๐ฅ