eFootball Special Thread

hahaha nimeanza majuzi tu....sema naokota okota ujuzi mnavyocheza nyie mkuu naiba
Kwa mfumo naotumia pamoja na playstyle inabidi nitumie DMF kuanzisha mashambulizi ndiyomaana najaribu kupiga pasi nyuma ili kufungua nafasi kwa DMF.

Hili bado geni kwangu ndiyomaana nimekuwa na changamoto kama hizo za kupokwa mipira kwenye zone yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…