eFootball Special Thread

Kuna wewe na Kandambili1 hamna wachezaji hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahaha mkuu matokeo usiyalete hapa 🀣🀣🀣🀣

Game ya pili umecheza vizuri sana na inapaswa kucheza hivyo mkuu ...pia punguza dribble na pass eneo la defence ...pasi zipigie sana phase ya pili pale kwa midfield...asante kwa game nzuri bro
 
Chukuaen madini hayo kutoka kwa Shivooo master Kandambili1

NEGAN Mr Devil Gilberto_ Warld Edo kissy
 
Wewe hamna kitu bhana, hizo pasi huko nyuma napiga kwa makusudi fulani.

Nipo training ya kitu ndiyomaana hata ukifunga goli 10+ bado unaona nacheza kama naongoza mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…