eFootball Special Thread

Fainal me vs Mr Devil

Fainal ilikuwa ngumu leo maana hakuna mtu aliyetaka kufanya makosa 😃🙌

Good game mkuu Mr Devil ur deserved kuwa Finalists


Game nilianza kwa kumfunga akachomoa tukaanza kutafutana wee dakika za jioni amenichezea Rafu ndani ya box nikapewa tuta nikapiga kamba...😃😃

Mr Devil akapata counter attack dakika ya 92 ikawa offside naona akaamua atoke na room kabisa 😃😃

Me nikapiga zangu la tatu maana huruma sio malezi fainali hii



 
Ila Bingwa una paaa sana asee weka mpira chini 😹😹
😹😹ila konami, ilo la 3 limeingia sa ngapi tena
 
Amekula chuma akaona afanye kupanda ndege hahaah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…