eFootball Special Thread

Nilitaka nikucheki saa 8 mambo yaka ingiliana mkuu, jikaze tu iyo baadae badae, kila mtu atafungwa na mimi usiwe na haraka 😹😹😹
Sina haraka ya kufungwa kaka najua nitafungwa nilitaka nicheze mapema kabla ya kuja huku nilipo network ni chenga

Kdg network ikiwa nzuri nipunguze idadi ya magoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…