bora asee mambo ya kuzungusha beki zangu siyapati , uka jionee balaa la kandambili na kikosi cha 3109 😹😹😹Mimi nitakipiga na kandambili😀
Hivi haujawai kucheza nae kabisa😃Nikamkabe puskas sasa😀
Nd mm hyo hyoMbona kama nakufahamu kaka 😂
Kandambili1 anacheza nyie na hiyo smart assist mzee ameimastabora asee mambo ya kuzungusha beki zangu siyapati , uka jionee balaa la kandambili na kikosi cha 3109 😹😹😹
😹 ukiweza ku block njia zake baasi ,afu puska kampa counter target😃😃😃 Kandambili1 nilivyokuwa nacheza nae easy mwanzo ila nimeshashtuka huyo nikiingia nae room kazi kazi mzee😃😃😃
Hapana mkuu sikumuwekea game zote 2....Mfumo wangu uli kataa game ya kwanza , game ya pili nili badili formation 😅😅naona uli muwekea tight marking bati goal
Anacheza possession game mzee kukaba kwa LBC ni kazi kinoma hiyo Playstyle😹 ukiweza ku block njia zake baasi ,afu puska kampa counter target
Huyo ni pro in Razorblade Voice😀bora asee mambo ya kuzungusha beki zangu siyapati , uka jionee balaa la kandambili na kikosi cha 3109 😹😹😹
Me mwenyewe game zangu nilijua umemark ila nikaja kujua niliweka mtu mzito mbele😃😃😃na defence ya cryuff ni nzuriHapana mkuu sikumuwekea game zote 2....
Hiyo situmii kabisa....sema vifungo niliwakamata kiasi chake
hahahaha mkuu hamna shida....nitajianda a na hii game una moto sana naonaMimi nitakipiga na kandambili😀
😹alikua nyuma ya beki zangu kila mdaHapana mkuu sikumuwekea game zote 2....
Hiyo situmii kabisa....sema vifungo niliwakamata kiasi chake
Kesho kwa mara ya kwanza tunakiwasha na imani itakua game nzurihahahaha mkuu hamna shida....nitajianda a na hii game una moto sana naona
Possession kwa smart assist ime nyooka sana 😹💥Anacheza possession game mzee kukaba kwa LBC ni kazi kinoma hiyo Playstyle
Hahahaha nikashtuka kaka vipi anaweka full mkoko hahah sema unanitrain sana....endeleaa kuweka kazi kazi kaka😃😃😃 Kandambili1 nilivyokuwa nacheza nae easy mwanzo ila nimeshashtuka huyo nikiingia nae room kazi kazi mzee😃😃😃
Jiandae kisaikorojia na smart assist pro maxKesho kwa mara ya kwanza tunakiwasha na imani itakua game nzuri
Owaa ni balaa hata mimi sichezi hivyo na smart assist 🤣🤣Possession kwa smart assist ime nyooka sana 😹💥
Amna kikosi kile kile ila nacheza mpira kazi🤣🤣Hahahaha nikashtuka kaka vipi anaweka full mkoko hahah sema unanitrain sana....endeleaa kuweka kazi kazi kaka
Naona ume toa siri za changing room, utaelewa kesho mida kama hii😹Humu ndani niliwaambia nisipate card ya Halaand ambayo ni Fox in the Box😃😃
Nikaipata juzi Alhamic kwenye free spine aseee jamaa ni striker haswa
Hatonisumbua sana sababu anacheza possession. Nasumbuka kucheza na wewe sababu unacheza counter attackJiandae kisaikorojia na smart assist pro max