sikuwa najua hii Mr Devil twendeNdiyo ni Match mbili mkitoka Agg sawa mtacheza ya Dakika tano ikiwa kila kitu on
Tulisema iwepo on tuu🤣🤣🤣kakabe smart assist hiyo🤣🤣🤣Nipo auwi ready😅zima smart assist kama ipo on kaka dah
Mi bora hata sikufuzu mana hapo nisingepita 😂
Tupp draw agg ya 3 tunaenda game ya tatuMi bora hata sikufuzu mana hapo nisingepita 😂
Kwanza ngapi ngapi ndo naingia 😄
Wap matokeo🔥😹😹 Kandambili1 hii mbugi kweli ime stahili kuwa nusu final una balaa
Hizi nguvu za kuscreenshot zinatoka wap ukiwa umefungwa🤣🤣🤣Game ya kwanza nili pigwa 3 siku pata ata nguvu ya ku screenshoot 😹😹 🔥To the final
View attachment 3437069View attachment 3437070
View attachment 3437071
TwendeHaupo online
hahahaha nachukia penalty hahahaha.....well done mkuu....unacheza vizuri sana Kuna mistakes nilizifanya game ya pili nikaweka tu twende sawa nkarudi na goli 2... Umeiva sana mkuu natafuta suluhisho la huyo bwana batistuta.. zile long balls hapana🔥😹😹 Kandambili1 hii mbugi kweli ime stahili kuwa nusu final una balaa
Mkuu ilikuwa balaa game ilikuwa Kali sana hahahaha.... Nimeondoka na vitu vingi mkuu hongera na shukrani sana.Game ya kwanza nili pigwa 3 siku pata ata nguvu ya ku screenshoot 😹😹 🔥To the final
View attachment 3437069View attachment 3437070
View attachment 3437071