Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,393
Halafu sijasomea sasa kilichonikuta ni kuporwa mipira na kuchakazwa πππFainally ukarusha ndege π€£π€£View attachment 3436310
Michezo hiyo kakaπ€£π€£π«΅π«΅π«΅π«΅Kwako sitoboi mkuu....hiki kikosi umesaidia sana kuniundia mkuu....shukrani sana.
ni kwel mkuu ... haaland alikuwa anachelewa kupress sababu Hana Kasi akawa anafanya niwe huru kupiga pasi....drogba mda wote alifanya beki ziwe chini na zibutueJamaa hana hata huruma, huenda sub pia zimeniponza π
Nilimtoa Drogba nikamuingiza Haaland nikamtoa Kane nikamuingiza Torres π
Unafungwa mpaka unajicheka πππMichezo hiyo kakaπ€£π€£π«΅π«΅π«΅π«΅
πΉππvipigo vyenu vime nishtua sana,Nenda kamkabe Puskas mbona unamkimbiaπ€£π€£
Pokea shukrani hiyo ya kuniundia kikosi japo na safari badoMichezo hiyo kakaπ€£π€£π«΅π«΅π«΅π«΅
Dah! Michezo hii πππni kwel mkuu ... haaland alikuwa anachelewa kupress sababu Hana Kasi akawa anafanya niwe huru kupiga pasi....drogba mda wote alifanya beki ziwe chini na zibutue
Huyu jamaa hafaiπΉππvipigo vyenu vime nishtua sana,
Visa unayo? ππππΉππvipigo vyenu vime nishtua sana,
Hahahahaha dah mkuu....dvn 1 bado uwezo hauruhusu π€£π€£ ndo nakomaa nifikeAnajikuta panya, ukute hii account anaitumia huku JF tu πππ
Ukute anabadge ya dvn 1 na rank nzuri kabisa ila anajifurahisha na sisi manoob πππ
sub zilizidi mkuu hahaha ....bahati ilikuwa upande wangu leoDah! Michezo hii πππ
Ulijikuuta mwenyewe eti unamsaidia kupanga kikosi kumne alikuwa anakuchora tu πππHuyu jamaa hafai
Acha michezo yako wewe πππHahahahaha dah mkuu....dvn 1 bado uwezo hauruhusu π€£π€£ ndo nakomaa nifike
ππΉπΉ dahVisa unayo? πππ
πΉana kubonda afu anakuja kukushukuru kwa kumfundisha mifumoHuyu jamaa hafai
Susia mechi πππΉπΉ dah
Mkuu unataka selikavu asinisaidie aiseh π€£π€£π€£π€£ mbinu zote nachota kwenye kucheza nae.Ulijikuuta mwenyewe eti unamsaidia kupanga kikosi kumne alikuwa anakuchora tu πππ
Hii nchi inawanafki sana πππ
Eti anakwambia amejifunza mengi sana ππππΉana kubonda afu anakuja kukushukuru kwa kumfundisha mifumo
πΉπΉ Selikavu ana mwambia jamaa kila siku afanye kupiga vile vi penalty ,ukute apo pro Kandambili1 alikua anacheka sanaUlijikuuta mwenyewe eti unamsaidia kupanga kikosi kumne alikuwa anakuchora tu πππ
Hii nchi inawanafki sana πππ
Selikavu hachezi hivyo sasa we unachukua mbinu gani kwake? πππMkuu unataka selikavu asinisaidie aiseh π€£π€£π€£π€£ mbinu zote nachota kwenye kucheza nae.