eFootball Special Thread

Niliwahi gusia hiki wakati Selikavu ana mfundisha trick , match nilio panda nae nikaona uyu ni pro kabisa kasoro kikosi πŸ˜ΉπŸ˜‚ Kandambili1 katuingiza kwenye mtego
Kaka najuta πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒleo me ndo wa kuanza kujifunza vitu kwenye mpira wake kwelπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒhapa tulichezwa🀣🀣🀣
 
Kaka najuta πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒleo me ndo wa kuanza kujifunza vitu kwenye mpira wake kwelπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒhapa tulichezwa🀣🀣🀣
Jamaa hana hata huruma, huenda sub pia zimeniponza πŸ˜‚

Nilimtoa Drogba nikamuingiza Haaland nikamtoa Kane nikamuingiza Torres πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…