Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 547
- 1,238
36129000Haipo
36129000Haipo
Amna room hiyo hiyo tuu hakuna haja ya kubadilishaNdo nlijua hivo
Mkuu one two zako zinanipa shida.. twende mkuu.Hapana mkuu, 😃 Kandambili1 nilikuwa nae Room alikuwa ashanipiga moja net yake imekata
Twende😃😃Mkuu one two zako zinanipa shida.. twende mkuu.
Mkuu corner kwako ni penalt 🙌Haipo
Hamna kaka, kawaida tuMkuu corner kwako ni penalt 🙌
Heshima yako masta
We nifundishe 😂😂Hamna kaka, kawaida tu
Mtandao kaka 😆😆😆Alexander Lukashenko Good game wachezaji wako wazito kiasi View attachment 3432843View attachment 3432844😂😂game ya pili nimecheza na haraka sana natamani match iishe nijibu sms
Mi nimeweka mabeki wangu warefu wote kwenye ile mipira ya kona ndo manaWe nifundishe 😂😂
Noma game ya kwanza umenichanganya sana..Mi nimeweka mabeki wangu warefu wote kwenye ile mipira ya kona ndo mana
Hii ligi imeanza kuwa ya moto 🤣🤣🙌Alexander Lukashenko Good game wachezaji wako wazito kiasi View attachment 3432843View attachment 3432844😂😂game ya pili nimecheza na haraka sana natamani match iishe nijibu sms
🤣🤣🤣Bado hawajasema🤣🤣
Sema drogba wamoto kwelii, sijui kwanini konami hawataki nipa huyo mtuWakuu niambieni kabisa nani mwingine anatumia back 5, huyu Corrie de killer alitaka niulia room maana mechi ya kwanza sikupata hata shuti 1 😂
View attachment 3432927
Good game mkuu 👍
Ukimuona Drogba kashika mpira hupaswi kuuliza 😂
View attachment 3432930
Selikavu