eFootball Special Thread

Usimsikilize Negan achana nae mtandao wake ulikuwa unazingua...

Alfu muda kucheza nae ni huu kioo bado kibovu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Acha bhana nakumbuka ulitaka kufanya comeback mchana kweupe, sasahivi unaubonda tofauti na mwanzo ulikuwa unatumia sana ndege ๐Ÿ˜‚.
 
Bila kuchoka๐Ÿ˜‚
 
Basi ndo walichonifanyia mkuu na mara 2 nimeletewa watu collective strength za vikosi vyao haifiki 3000 ila wanagonga mali hakuna ๐Ÿ˜‚.

Kuhusu messi mkuu ni kama vile umenitoa usingizini hata sijui niliwaza nini kumuweka kulia, Shukrani sana.
Me napenda kumuweka halaand upande huo ili akienda ameenda
 
Acha bhana nakumbuka ulitaka kufanya comeback mchana kweupe, sasahivi unaubonda tofauti na mwanzo ulikuwa unatumia sana ndege ๐Ÿ˜‚.
Wewe mwenyewe siku ile ulizembea mpka ukajicheka
Mkuu nimebakiza point 67 ila hizi navizia wakati wa mechi za uefa nione kama nitapata wakuwaokota ๐Ÿ˜‚.
Komaa komaa kaka nikipata badge lazima ikae pale kukutia hasira๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Nitamtumia Mbappe badala ya Messi.
Unaniiga.. kama una bahati nzuri mtafutie through pass Torres atakusaidia sana akikaa na mbappe..

Alafu striker wako wa akiba jitaid apate supersub...

Me naona zimenisaidia kaka

Through za Torres akiwa na mbappe mbele nyingi zinapita


Alafu drogba alipata supersub akiingia na ule upoacher wake anawasha moto mno

Kila la kheri kaka
 
Pamoja mkuu.
 
Nilidhani nitakuwa na mood nzuri ya kucheza game badala yake akili inaiwaza Real Madrid tu, nimecheza mechi 2 zote nimefungwa, vidole vizito balaa ๐Ÿ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ