eFootball Special Thread

Wakuu niombeeni nimeenda kucheza na Kandambili1 Room aseee nimezibuliwa haswaaaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Alafu nina game nae za ligiπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Humu ndani kila mtu pro sasa


Mr Devil huyu Kandambili1 hafai kakaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ tutafute tu mwingine wa kutupa points🀣🀣🀣🀣
 
🀣umeingia kichwa kichwa utakula za uso home and away , Kandambili1 ana point zangu sina hofu nae ,nime umia kukosa point zangu kwa Razorblade
 
Braza kaka Razorblade habari za Asubuhi 🀣🀣View attachment 3431923
Dah! Ile siku nilisema natumia coins 300 tu ili zibaki 1500, kilichonikuta mpaka sasa nahisi huenda kuna kauchawi konami wanatumia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Baada ya update ya 2026 nimedhamiria kutunza coins mpaka mwaka unaisha.

I can, I must, I will

Acha nitembee na kauli mbiu yangu ya enzi za shule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nipo Pale niite Didier Drogba MavambovicπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…