eFootball Special Thread

Me nishashuka division 3 tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nimepigwa zangu nikasema oky ngoja ningojee kupanda tena kesho

Kesho si tunaanza division upya๐Ÿ˜€
 
NEGAN embu nieleweshe kuhusu script kwanza maana nimevurugwa hapa ๐Ÿ˜‚.
Script ni namna Konami wanafanya game liwe entertaining vitu kama kugongwa mwamba, maboko ya beki kujifunga au umebakiza point 10 uende division 2 unapangiwa opponent wa moto ili mradi udondoge point uendelee kucheza game.

Halafu messi mtoe chezesha real striker au kana unataka kucheza na messi muweke kulia Tores kushoto wewe umemuweka kushoto.
 
Mtandao umenibeba magoli yote mtandao wako ulikwama ikafika hatua nikiona umesimama nangojea ulud kwanza ndo na press๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€semaa kikosi chako kinabadilika kila siku๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nina wachezaji wengi ukicheza miezi 6 utawapata na wewe
 
Settings gani hiyo kaka๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ™‚โ€โ†”๏ธtunatumia mfumo mmoja sie
Nilikandwa sana jana ikabidi kwenye matchmaking niweke nearby area ๐Ÿ˜‚, halafu nikiwa uwanjani nikitangulia kushinda tu naweka ultra defensive ๐Ÿ˜‚.
 
Basi ndo walichonifanyia mkuu na mara 2 nimeletewa watu collective strength za vikosi vyao haifiki 3000 ila wanagonga mali hakuna ๐Ÿ˜‚.

Kuhusu messi mkuu ni kama vile umenitoa usingizini hata sijui niliwaza nini kumuweka kulia, Shukrani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ