Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,542
- 11,319
Wana mnanichomolea betri ndiyo uwana gani huo ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃSisi ndo wanako sasa huna wana wengine ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
You don't need enemies if you have buddies like us๐คฃ๐คฃ๐คฃWana mnanichomolea betri ndiyo uwana gani huo ๐
I still repeat....You don't need enemies if you have buddies like us๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Uku kwenye web yao huwa sifiki kabisa , incase account yako ikiliwa kichwa afu we upo Tz na uli select Japan kuirudisha itakua shuhuli
Kuna account nilikuwa nabadilisha email๐๐๐nikakutana nayo hapa nawaza sijui nihamie japan tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃMi mwenyewe sielewi, kwani ulikuwa umefuata nini huko? ๐
Tutatumia VPN๐๐๐ngoja niwe wa mfano ๐๐Uku kwenye web yao huwa sifiki kabisa , incase account yako ikiliwa kichwa afu we upo Tz na uli select Japan kuirudisha itakua shuhuli
Nasikia baada ya Update tutaanza kuspine kwa GP๐๐๐๐ booster zimekua hadimu.puyol ana tembea nq goalkeeping
View attachment 3428348
Legacy transfer/player fusion kaka ni so expensive inanimalizia gp๐Nasikia baada ya Update tutaanza kuspine kwa GP๐๐๐
Nakuona kaka una million 38๐๐๐
Alafu kuna NEGAN ๐๐๐ Gp Sijui hiwa anazitoa๐๐๐
๐๐๐๐Ile ya skills alafu umenikumbusha nimfanyie Cannavarro hana skill ya pass hata mojaLegacy transfer/player fusion kaka ni so expensive inanimalizia gp๐
Kwani mkuu inamaana kikosi chako chote mpaka reserve huna wachezaji ambao hawana faida? ๐๐ booster zimekua hadimu.puyol ana tembea nq goalkeeping
View attachment 3428348
Kuna zile event za team za serie A ,au wachezaji wa national ndo wame baki ๐ ๐Kwani mkuu inamaana kikosi chako chote mpaka reserve huna wachezaji ambao hawana faida? ๐
Release michezaji ya hovyo upate booster.
Bakiza wachezaji wa event mzee๐๐๐maswala ya kuingia event na standard players yanakera mno๐๐๐Kuna zile event za team za serie A ,au wachezaji wa national ndo wame baki ๐ ๐
Muhimu iyoBakiza wachezaji wa event mzee๐๐๐maswala ya kuingia event na standard players yanakera mno๐๐๐
Dah! Umeupiga mwingi ๐Kuna zile event za team za serie A ,au wachezaji wa national ndo wame baki ๐ ๐
Mara ya mwisho kucheza hizi mechi mbili sijui ni lini