Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Ndo mimi natumia vidole sasa kitaeleweka tu πIle ni padi mzeeππ
Kuachana uongo kaka, kibunda kibunda kibunda πππAma muachane sio, π
Hizo level tutafika tuu ila kwa sasaMimi nataka kujua game, sitaki kucheza game π
Kuna watu unaweza kutana nao dvn yani we butua ila yeye akishika mpira kazi unayo, boli linatembea chini tu halafu speed yake ni balaa π
Komaaaπππnikutumie picha yakeπ€£π€£π€£Kuachana uongo kaka, kibunda kibunda kibunda πππ
Wakati wewe unasubiria kufika huko mie nimekubali kufungwa sasahivi ili niwaburudishe baadae πHizo level tutafika tuu ila kwa sasa
Mpira Magoliππ
Unayo?Komaaaπππnikutumie picha yakeπ€£π€£π€£
Ulishaziona zote kijanaπππkama huku ruka nazo basi imekula kwakoπ€£π€£π€£π€£Unayo?
Embu itume PM kwanza nithaminishe π
Mpira magoli kaka burudisha watu lakn shinda...Wakati wewe unasubiria kufika huko mie nimekubali kufungwa sasahivi ili niwaburudishe baadae π
We unajua mie kufukua siwezi, embu nibless PM kwanza πUlishaziona zote kijanaπππkama huku ruka nazo basi imekula kwakoπ€£π€£π€£π€£
SawaaaaMuda ni uleule mkuu kuanzia saa 4 mpaka saa 5:59 π
Sasa nitakuburudishaje bila kukufunga, yani nataka nikiwa namfunga mtu akasirike hadi atamani kutupa simu πππMpira magoli kaka burudisha watu lakn shinda...
Me nijue kukaba tuu basi nimemaliza ππ
πΉπΉ Razorblade anasema eti we ni opponent mwepesi kuliko wote anaweza cheza kwa mkono mmoja na usi mfunge .π tukutane room, kwanza nipe ratiba tuzame muda gani?
Khaaa ππ huyu leo namleta amening'inia.πΉπΉ Razorblade anasema eti we ni opponent mwepesi kuliko wote anaweza cheza kwa mkono mmoja na usi mfunge .
Kaka unaleta mambo ya morogoro, unanichomolea betri ππΉπΉ Razorblade anasema eti we ni opponent mwepesi kuliko wote anaweza cheza kwa mkono mmoja na usi mfunge .
Khalas πKhaaa ππ huyu leo namleta amening'inia.
Anaenda kuuponza π
Pow nakuchek πWe unajua mie kufukua siwezi, embu nibless PM kwanza π
Me mwenyewe limeniuma sanaπ€£π€£π€£πΉπΉ Razorblade anasema eti we ni opponent mwepesi kuliko wote anaweza cheza kwa mkono mmoja na usi mfunge .
Oyaa lori la mafuta halafu mnachomoa betri πMe mwenyewe limeniuma sanaπ€£π€£π€£
π€£π€£π€£Sisi ndo wanako sasa huna wana wengine π€£π€£π€£Oyaa lori la mafuta halafu mnachomoa betri π