eFootball Special Thread

😹😹hii sio haki ilibidi izo match za mwanzo ndio tucheze home and away uku juu ni dk 90 , extra time then penalty .
 
Labda kwenu😃😃me nikicoins 1800 kabla hajaondoka namchukua...


Sema ndo hivyo ashanipita


Ila ngoja tungojee wataalamu kama NEGAN waliyenanaye
Ni mzuri lakini katoka mwaka jana kama una coin bora usubiri pack zainazokuja e football 26
 
Mchukue messi au alishaondoka??
Uchawa kwenye coins zangu sitaki 😂

Siwezi tupa hizo coins kwenye ile pack, angekuwa RMF(Creative playmaker) ningepita nae ila ni RWF(Prolofic winger) hapana.

Kwa sasa nahitaji RMF na LMF pamoja na SS wa asili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…