eFootball Special Thread

Hatimae derby ime pigwa .
Kwa hasira alizo kua nazo Edo kissy nika weka back 5 afu defence nka shusha blue 1 nikijua lazima ata force kuni press sanaa na mimi nikawa natega kupiga long ball counter na through balls , Doue na batistuta nikiwa nime instruct counter target uku puyol na nesta niki instruct defensive 😹

Dk ya 80 ukiwa nyuma goal 2 nazani uli pandisha Full red kama sio red moja kwenye attacking na mimi nka kupandishia Full Red nikijua lazima utakua na wenge πŸ˜…πŸ˜ΉπŸ˜Ήmaana izo goal 2 za mwisho zote nilipiga mbele stricker wangu wakawa wame kimbia nyuma ya beki zako zote


 
Nilikuwa half red Toka mwanzo
 
Nilikuwa half red Toka mwanzo
Mkuu Edo kissy mbona umetolewa kinyonge sana.
 
Yan mmekimbiana miezi mingapi sijui πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hongereni kwa kumaliza Playoffs

Matokeo ya playoffs ni kama hivi

Tunaingia nusu fainali sasa

Game ni mbili...

Dakika 10 condition excellent

Game ya kwanza Penalty off na Extra time off


Game ya pili Penalty On na extra time on


Mshindi ni yule ataongoza aggregate

Nadhan hata kama game ya pili mkiwa draw na game ya kwanza kuna mtu alishinda basi mnaweza mkaishia dakika 90 mkapiga picha matokeo mmoja akatoka
 
Kama DJ Afro vile πŸ˜„ 🀣 πŸ”₯
 
Razorblade πŸ˜… njoo tamba mkuu
 
Khalas πŸ˜‚
Razorblade πŸ˜… njoo tamba mkuu
Usiombe nikufunge, hutaamini πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…