eFootball Special Thread

Mkuu embu chukua hiyo table halafu mpe jirani yako aiangalie πŸ˜‚

Wewe unachotaka kuchezesha hakipo ila chuki binafsi πŸ˜‚
Sasa kaka unataka nibadilishe sheria kisa wewe umefikisha point 6πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Wajumbe niliwaomba huyu mtu abaki huko huko chini asije juuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒmmemwacha ona anaanza kutamba sasaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kaka panga unavyotaka iwe hakuna neno... Nitumie niweke hivyo sio kesiπŸ˜ƒ
 
Ligi ijayo approximately wataongezeka watu wanne.. jumla tutakuwa kumi mfumo utakuwa ni huu huu

Tunaanza na League game tatu/nne

Tunaenda playoffs namba 3 mpaka namba 6

7,8,9 na 10 wanakuwa wameaga
 
Sasa kaka unataka nibadilishe sheria kisa wewe umefikisha point 6πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Wajumbe niliwaomba huyu mtu abaki huko huko chini asije juuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒmmemwacha ona anaanza kutamba sasaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hapo siyo kubadilisha sheria mkuu ila hiyo itakuwa utapeli unafanyika, sheria ya kucheza play off izingatie table πŸ˜‚

Mimi hata ukiweka tucheze hiyo play off nitacheza ila inakuwa haipo kimichezo ndiyomaana nilipendekeza itumike format ya UEFA.

Mimi hata ningekuwa na point 3 bado huwezi chezesha play off kwa namna table ilivyokaa πŸ˜‚
 
Ligi ijayo approximately wataongezeka watu wanne.. jumla tutakuwa kumi mfumo utakuwa ni huu huu

Tunaanza na League game tatu/nne

Tunaenda playoffs namba 3 mpaka namba 6

7,8,9 na 10 wanakuwa wameaga
Weka mfumo wa point hii haiko sawa mkuu, idadi ya point kadhaa wanakuwa qualified kwa round inayofata chini ya hapo wanacheza play off kwa kuzingatia idadi ya point na wengine kuwa eliminated direct wakikosa point za kucheza play off.

Bora shindano liwe fupi lakini liwe limeenda sawa kuliko kuwa refu halafu haliko sawa.
 
Tumia format ya UEFA mkuu.

Qualified(Idadi ya point)
Playoff(Idadi ya point)
Eliminated(Kushindwa kufikisha point za playoff)
Kumbe hukufuatilia kaka

Haikuwa idadi ya point ilikuwa ni hivi wa 9 mpaka wa 24 wanacheza playoff

Club Brugge kamaliza na point 11 nafasi ya 24 kapita playoffs

Dinamo Zagreb kamaliza na point 11 nafasi ya 25 katoka

Wewe na point zako 6 best loser okayπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Mamiyake 🀣
 
Mkuu unataka koforce, hapo baada ya kufungana point wameangalia Goal Difference na ndo kitu ambacho nilitaka niseme pia πŸ˜‚

Weka hizo play off tucheze hakuna tatizo πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜… mtu na points zake 6 anapambania playoff..

Razorblade tupo pamoja na wewe mpaka utoke πŸ˜‚
 
Mkuu unataka koforce, hapo baada ya kufungana point wameangalia Goal Difference na ndo kitu ambacho nilitaka niseme pia πŸ˜‚
View attachment 3426649

Weka hizo play off tucheze hakuna tatizo πŸ˜‚
Siforce kaka nimekuelezea

Huyo mtu unayesema hana point kikanuni alikuwa na point 3 na magoli matatu ya siku ya kwanza kwa sababu opponent hakutokea lakin alikubali kucheza siku inayofata....

Bado game yake moja hakucheza na alikuwa na room ya kucheza lakin akaomba opponent apewe point

Kwahiyo issue sio point kaka ni mfumo tulivyokubaliana
 
Sasa hili ni kosa la promoter kutosimamia vizuri, tulikubaliana mwisho kucheza ni saa 6:00

Kama ungefata sheria ya muda wa mechi haya yasingejitokeza πŸ˜‚
 
Sasa hili ni kosa la promoter kutosimamia vizuri, tulikubaliana mwisho kucheza ni saa 6:00

Kama ungefata sheria ya muda wa mechi haya yasingejitokeza πŸ˜‚
Ndo league imeanza mkuu muda mwingine tunatumia busara..

Point za mezani hazinogiπŸ˜ƒπŸ˜ƒ ingia room uumuke
 
Mill broh me shabiki yako kakaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Ukikosa muda nipe account yako nicheze nae nimwekee back five na full blue bars game ikianza πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Lazima akabe back 5πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…