Ndiyo, nasubiri pale anapoondoka Torres leo nijue anaekuja kama atanifaa.Iv akina Cannavaro na wengine wanaondoka leo??
Hao sio mpaka major update ijayo???Ndiyo, nasubiri pale anapoondoka Torres leo nijue anaekuja kama atanifaa.
Wanaondoka leo.Hao sio mpaka major update ijayo???
Kuondoka ni leo sawaa ila replacement zao nadhan ni baada ya major updateWanaondoka leo.
Kuondoka ni leo sawaa ila replacement zao nadhan ni baada ya major update
Eniwei ngoja tungojee
Free epic wale akina Cannavaro
Hao mpaka major updateNdiyo, nasubiri pale anapoondoka Torres leo nijue anaekuja kama atanifaa.
Edge crossing + Bullet header what a combination 😀
Ukimpata Koller mkuu😃😃😃utatuua sanaEdge crossing + Bullet header what a combination 😀
Nunez baada ya kutolewa kina Buyten hana impact sana ningekua na coin nimgeruka na koller😀Ukimpata Koller mkuu😃😃😃utatuua sana
Ndo nimeona hapa aisee.Hao mpaka major update
Alafu ivi yule Alexander Sørloth pale Nominating character ulimchukua😃😃😃Jamaa nadhan anakufaa kwa Cross zako japo ni 97 ni mrefu kama HalaandEdge crossing + Bullet header what a combination 😀
Ukimpata huyo umemaliza😃😃😃 urefu 202 sijui😃😃Nunez baada ya kutolewa kina Buyten hana impact sana ningekua na coin nimgeruka na koller😀
Pasha siti hiyo mkuu...nitakuja kukupokea hahaha😅😅ndo naenda getto mkuu, saa 23:00 tupande ukija nw smart assist point uta bebea kwangu hadi pale Kandambili1 atapo ingia kwenye game
Jana ilikuwaje?? Tunangojea maelezo mkuuOpponent wangu saa 3 kamili tunakiwasha
😹😹 ila kaka mda wote una kipiga online unani shtuaPasha siti hiyo mkuu...nitakuja kukupokea hahaha