Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,906
- 34,435
Match imekua deemed unfinished kabla aija anzaHajaja kabisa Room??
Match imekua deemed unfinished kabla aija anzaHajaja kabisa Room??
Ludi atakupa invite yeyeMatch imekua deemed unfinished kabla aija anza
Yupo Offline 😅😅 panda ata wewe tupasheLudi atakupa invite yeye
Embu ngojea aje maana muda unaenda isha kaka😃😃Yupo Offline 😅😅 panda ata wewe tupashe
Wakati wangu wa kuwa Professional na kazi yangu ya upromoter😀😀nisije nikaonekana nipo bias😃😃KWISHAAA 🤣🤣
Nilisema hili swala😃😃😃 Tony Adams once again🤣View attachment 3425231
Katoa GG 😅
Razorblade sijui umeingia na presha mwanang 1st half ulikuwa unapiga piga mashuti, mi net ikazingua na bado ukakosa goli wazi..
hii net imenifanya nimesimama mpaka juu ya makochi leo🤣 ili nisirudie mechi
View attachment 3425232
Ila Selikavu ukiona MOTM amekuwa Adams nadhani unaelewa 😅
😅😅 kapotea kijana hataki kuchatiNilisema hili swala😃😃😃 Tony Adams once again🤣
Unabahati mkuu, ulimpa kahn kamzizi nini?KWISHAAA 🤣🤣
😃😃😃Bado anaugulia maumivu😅😅 kapotea kijana hataki kuchati
Si wote mnaye😀😀Unabahati mkuu, ulimpa kahn kamzizi nini?
😂😂😂
Mkuu nilivyoona unaganda nikapoa ili net yako ikae sawa sikutaka ushindi wa mchongo 😂Razorblade GOOD GAME KAKA 🤞
View attachment 3425231
Katoa GG 😅
Razorblade sijui umeingia na presha mwanang 1st half ulikuwa unapiga piga mashuti, mi net ikazingua na bado ukakosa goli wazi..
hii net imenifanya nimesimama mpaka juu ya makochi leo🤣 ili nisirudie mechi
View attachment 3425232
Ila Selikavu ukiona MOTM amekuwa Adams nadhani unaelewa 😅
Nilijua utaivunja back 3 na kwa bahati mbaya umeshindwa 😂😅😅 kapotea kijana hataki kuchati
Naona counter zilikua zina pigwa sanaRazorblade GOOD GAME KAKA 🤞
View attachment 3425231
Katoa GG 😅
Razorblade sijui umeingia na presha mwanang 1st half ulikuwa unapiga piga mashuti, mi net ikazingua na bado ukakosa goli wazi..
hii net imenifanya nimesimama mpaka juu ya makochi leo🤣 ili nisirudie mechi
View attachment 3425232
Ila Selikavu ukiona MOTM amekuwa Adams nadhani unaelewa 😅
Alikua e football leagueMe nikajua mmeenda tayali??
Angalia wake ameokoa shots ngapi?Si wote mnaye😀😀
Hahaha mi Airtel tangu juzi inasumbuaMkuu nilivyoona unaganda nikapoa ili net yako ikae sawa sikutaka ushindi wa mchongo 😂
Halo nayo imeniletea uchawi tu leo 😂
Ila Amrabat umemuona eeh? 😂Hahaha mi Airtel tangu juzi inasumbua
TuondokeAlikua e football league