Jamani Edo kissy ๐Round one imeisha tunaenda Round two
Kwa sasa kila mtu ana taarifa hakutokuwa na fair kama hautotokea bila taarifa
Msimamo ulivyo kwa sasa
NEGAN Mill broh Mr Devil Razorblade Edo kissy Gilberto_ View attachment 3425116
Razorblade unaitwa huku๐๐Kaka Razorblade njoo nikupe chako mapema ๐
๐ ๐ ๐ ila hii ligi ikiisha humu ndani ndo tutaheshimiana๐๐๐๐ Umeanza ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Yes bro ni wazo zuri kwenye emergency nitakuwepo.Aah mill bro asingekuja ungechukua nafasi yake kaka
Sema kaja kwahiyo utaingia ya week ijayo
Aje nimnyoeRazorblade unaitwa huku๐๐
Jumatatu uwepo kaka sio kwa emergency unaanza na wewe kucheza ๐๐Yes bro ni wazo zuri kwenye emergency nitakuwepo.
Ndo mpira kakaInasikitisha sana
Hawezi nifunga namuamini Cannavaro ๐Sina maelekezo maana na mimi bado nafungwa๐๐๐
Mkuu upo kuna league hukuAnyone ashare codeView attachment 3416125
kijeba๐Hawezi nifunga namuamini Cannavaro ๐
At least hatushiki mkia
View attachment 3425106
Edo kissy good game man๐
Daah et good game ๐Good game shots 1๐๐๐ฎ
Beki zinakaba mno
Tulia nimtandike Gil ndo utajua hujui ๐Ukiona Razorblade anaongoza ligi ujue Mill Broh hajacheza bado ๐๐๐๐
Sawaaa kaka me sina nenoTulia nimtandike Gil ndo utajua hujui ๐
Niache kwanza nitulie ๐Kaka Razorblade njoo nikupe chako mapema ๐
Niache ๐Razorblade unaitwa huku๐๐