Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Wewe umeota kuwa leo tunaanzisha tournament umeamua kuleta hicho kisingizio 😂Nilimpa Account ya Selikavu mara ya kwanza😃😃
Jana ndo nikamwambia aachane na selikavu nampa yangu kubwa😃😃😃
Sasa hujaelewa nn hapo kaka🤣🤣
Mimi siwezi kukukimbia😃😃
Saa 5 kamili tukiwashe😂 tutacheza night
Hizi mechi si zinapigwa ule muda wetu saa 4:00 mpaka saa 5:59?HII ROUND 1 😵
Mill broh v Edo kissy
Razorblade v Mr Devil
NEGAN v Gilberto_
Sheria.
Dakika 10, Conditions - EXCELLENT, no EXTRA, no PENALTIES.
Matokeo mtatuma humu humu wakuu..
🔥🔥 kiwake, ukituma matokeo utanitag mimi au Selikavu ili yarekodiwe
View attachment 3423241
Me nasoma upepo kwanza tungekuwa saba isingenoga🤣🤣🤣Wewe umeota kuwa leo tunaanzisha tournament umeamua kuleta hicho kisingizio 😂
Sawa kaka 😂Saa 5 kamili tukiwashe
Kikosi chako kinajulikana, haiwezekani shindano lihusu timu ya Simba wewe upeleke timu ya Yanga 😂Natumia chake🤣🤣🤣
Ushawai kutana na mimi nikiwa na Constacurta, Cafu na Batistuta ogopa🤣🤣🤣🙌🫵
Tuweke deadline saa 6 usiku au mnasemaje?Hizi mechi si zinapigwa ule muda wetu saa 4:00 mpaka saa 5:59?
NdiyoHizi mechi si zinapigwa ule muda wetu saa 4:00 mpaka saa 5:59?
Namtwanga mpaka achanganyikiwe 😂Me shabiki wa Mr Devil🤣🤣🤣lazima ukae leo🤣🤣🤣🫵
Mi nadhani kipigwe muda wowote tu, mkiwa free ila deadline ifahamike muda fulani.Ndiyo
Sema nitaomba kwa wale ambao hawtokuja online kwa leo tuwape another chance maana imeanza ghafla mno
Mtajua wenyewe si mwanitaka🤣🤣Kikosi chako kinajulikana, haiwezekani shindano lihusu timu ya Simba wewe upeleke timu ya Yanga 😂
Ndiyo ni sahihi sema tushazoea humu muda wetu wa match ni saa nne usiku 😀😀Mi nadhani kipigwe muda wowote tu, mkiwa free ila deadline ifahamike muda fulani.
Ndo hiyo saa 5:59 ikifika saa 6 tayari ni siku nyingine hiyo kama mtu hajatokea aliyepo online anapewa win.Tuweke deadline saa 6 usiku au mnasemaje?
Poa mkuu, muhimu kutag matokeo.Mi nadhani kipigwe muda wowote tu, mkiwa free ila deadline ifahamike muda fulani.
Sipo pale kwenye fixturesNdo hiyo saa 5:59 ikifika saa 6 tayari ni siku nyingine hiyo kama mtu hajatokea aliyepo online anaoewa win.
Weka na game instruction kabisa mkuu.
Nimeona ✅Sipo pale kwenye fixtures
Uhakika kabisa, wengine anzeni basi tuone vipigo vinaendaje 😂EDITED PALE, SAA 5:50 MWISHO KUSUBMIT MATOKEO.
Anza wewe 😂Uhakika kabisa, wengine anzeni basi tuone vipigo vinaendaje 😂