Basi ile message yangu ya ufafanuzi hukuielewa kakaHapo mechi si 5 tu kwa kila mtu, ikianza J3 mpaka J2 inakuwa imeisha.
Sema Selikavu kaamua kunikimbia eti kisingizio simu 😂Sawaa mkuu
NEGAN Mill broh Mr Devil Edo kissy kinawaka leo kaka kuanzia leo kuwen activeWAKUU, TUPO WACHACHE FIXTURES ZIPO 5 TU SIONI HAJA YA KUSUBIRIA MPAKA J3 NA NYIE MPO TU ACTIVE, TUANZE TU KUKIMBIZANA HIYO J3 ITAFAHAMIKA TU NA HUENDA NDO WATU WATAKUWA WASHAANZA KUONGEZEKA..
Ko natuma fixtures za leo, alafu kesho nyingine, keshokutwa nyingine ya 3.
Afu knockout zitaanza ijumaa.
Nimekuelewa sasa.Basi ile message yangu ya ufafanuzi hukuielewa kaka
Timu zipo sita
Tunacheza mfumo wa league mwanzo
KIla mtu atacheza mechi tatu mwanzoni
Yan mechi moja moja dhidi ya watu watatu...
Then league inaishia hapo tunaenda playoffs
Waliokuwa nafasi ya kwanza na ya pili wanafuzu moja kwa moja Nusu Fainal
Mtu wa tatu mpaka wa sita watcheza playoffs
Watapatikana wawili ambao watakuja kuungana na mtu wa kwanza na wa wapili itapigwa nusu fainal then Fainali league imeisha kaka
Eti anasema account kampa mdogo wake kwa muda, wakati juzi ametuambia mdogo wake hakulink kwahiyo amempa account yake nyingine halafu leo anasema amempa tena account mdogo wake 😂😂😂Hata mi naliona hilo.. muoga muoga 😂
Njoo tu kibonde wewe 😂🤣🤣🤣🤣 Unaongea mno kaka😃😃
Nitalud mapema kwa ajili yako
Ujue nina option ya kuchukua simu ya yule jamaa yangu wa RashidFord Nikacheza😃😃😃Hata mi naliona hilo.. muoga muoga 😂
Nilimpa Account ya Selikavu mara ya kwanza😃😃Eti anasema account kampa mdogo wake kwa muda, wakati juzi ametuambia mdogo wake hakulink kwahiyo amempa account yake nyingine halafu leo anasema amempa tena account mdogo wake 😂😂😂
Anatuchanganya 😂
Hatuchezi😀😅HII ROUND 1 😵
Mill broh v Edo kissy
Razorblade v Mr Devil
NEGAN v Gilberto_
Matokeo mtatuma humu humu wakuu..
🔥🔥 kiwake, ukituma matokeo utanitag mimi au Selikavu ili yarekodiwe
View attachment 3423241
Mungu nifunishe kunyamaza 😀😀😀Njoo tu kibonde wewe 😂
Mapema sana 🤣🤣🤣Hatuchezi😀😅
Huruma sio malezi ukikutana na mtu hayupo vizuri piga mno🤣🤣🤣HII ROUND 1 😵
Mill broh v Edo kissy
Razorblade v Mr Devil
NEGAN v Gilberto_
Matokeo mtatuma humu humu wakuu..
🔥🔥 kiwake, ukituma matokeo utanitag mimi au Selikavu ili yarekodiwe
View attachment 3423241
Muhimu kiwe kikosi chako 😂Ujue nina option ya kuchukua simu ya yule jamaa yangu wa RashidFord Nikacheza😃😃😃
Sasa endeleni kunijaza upepo 🤣🤣
😂 tutacheza nightHatuchezi😀😅
Natumia chake🤣🤣🤣Muhimu kiwe kikosi chako 😂
Oyaaa Mr Devil kayakanyaga naenda kumtwanga kilumbilumbi 😂HII ROUND 1 😵
Mill broh v Edo kissy
Razorblade v Mr Devil
NEGAN v Gilberto_
Sheria.
Dakika 10, Conditions - EXCELLENT, no EXTRA, no PENALTIES.
Matokeo mtatuma humu humu wakuu..
🔥🔥 kiwake, ukituma matokeo utanitag mimi au Selikavu ili yarekodiwe
View attachment 3423241