πππEwaaaaAah familia nllisahau vipi hiiπ
NO SMART ASSIST
π€£π€£π€£Tutaomba hili swalaUnyama sana, kasimu kangu kakijitoa kwenye game hakuna kurudia ni kukata points tu.
Ila ban muhimu kwa wa kwanza kutoka na atakayekosa mechi 2 mfululizo siyo 3 tena π
Muanze kujifua sasaππππ₯Smart assist hairuhusiwi ukigundulika unaombewa ban π
Nipo full mkoko na hivi sichez hizi league za mwanzoππPromoter Selikavu hacheki na wowoteπ
Muda wa mechi za mzunguko husika uwe kuanzia saa 4:00 mpaka saa 5:59, mechi zitazochezwa nje ya huo muda hazitahesabika.π€£π€£π€£Tutaomba hili swala
Mimi nipo vizuri mkuu πMuanze kujifua sasaππππ₯
Ko tuanze kukiwasha leo au ?Active mpo sita π unaweka kama UEFA ilivyo... Mnaanza na League kila mtu anacheza mechi zake hata tatu Kwanza mkimaliza wawili wa juu wanaenda Nusu fainali moja kwa moja waliobaki wanne wanacheza playoffs... Wanapatikana wawili wanakuja kucheza Nusu fainali then Fainali league imeisha
We ndo bodi ya ligi ππMuda wa mechi za mzunguko husika uwe kuanzia saa 4:00 mpaka saa 5:59, mechi zitazochezwa nje ya huo muda hazitahesabika.
We andaa tuu tuanze jumatatu ijayoππKo tuanze kukiwasha leo au ?
Mangunguπ€£π€£We ndo bodi ya ligi ππ
Nisamehe mkuu ππList batiri bila kuwepo mleta Uziπ
Aaah sawaWe andaa tuu tuanze jumatatu ijayoππ
Nimejaribu kuandaa nimeshindwaππsijawai tumia hiyo appAaah sawa
Ndo nipo naingiza majina hapa.. nishasahau wengineNimejaribu kuandaa nimeshindwaππsijawai tumia hiyo app
Utaniuliza tuuππNdo nipo naingiza majina hapa.. nishasahau wengine
Mpaka saivi tupo live Razorblade unashikilia mkia mkuu πππ
kuna anaeongezeka?? π
View attachment 3423151
Aisee mbona mapema sana πMpaka saivi tupo live Razorblade unashikilia mkia mkuu πππ
kuna anaeongezeka?? π
View attachment 3423151
Wakuu nisaidien huyuy jamaa asitoke huko chiniπ€£π€£π€£Mpaka saivi tupo live Razorblade unashikilia mkia mkuu πππ
kuna anaeongezeka?? π
View attachment 3423151