Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,943
- 12,380
Muhimu uwe bingwa tu.Haram Football si inaruhusiwa lakini!
Ushindwe wewe tuu kushinda sasaAaah familiya yangu kabisa wewe, hivi ndo nilivyokuwa nafikiria π
J'Mosi anatafutwa mshindi wa 3 halafu J'Pili Final, hii ni kuongeza ladha tu katika shindano.
Halafu J3 ngoma inaanza tena π
Ban zinanisubiri πUshindwe wewe tuu kushinda sasa
Mimi namtaka yule Kante au Serginho.
Naleft JF ππNitawaletea Rashford oohπππmkimbie humuπ€£π€£
Kante mzeeππMimi namtaka yule Kante au Serginho.
HAkuna sehemu utaenda na League utachezaπ€£π€£π€£Naleft JF ππ
Mie wanipe tu hiyo card πKante mzeeππ
Ile card mzee ni kama Cannavarro ππMie wanipe tu hiyo card π
Ni wewe tu haram ball, drone foltball, rafu, back pass, tiki taka zinaruhusiwa ambacho hakiruhusiwi ni cheating ya network tuHaram Football si inaruhusiwa lakini!
Smart assist ππNi wewe tu haram ball, drone foltball, rafu, back pass, tiki taka zinaruhusiwa ambacho hakiruhusiwi ni cheating ya network tu
Ubaya ubwelaπNa asipokuwa active kwenye mechi 3 mfululizo tunamuombea ban π
Aah familia nllisahau vipi hiiπSmart assist ππ
Unyama sana, kasimu kangu kakijitoa kwenye game hakuna kurudia ni kukata points tu.ambacho hakiruhusiwi ni cheating ya network tu
Smart assist hairuhusiwi ukigundulika unaombewa ban πSmart assist ππ
Promoter Selikavu hacheki na wowoteπUnyama sana, kasimu kangu kakijitoa kwenye game hakuna kurudia ni kukata points tu.
Ila ban muhimu kwa wa kwanza kutoka na atakayekosa mechi 2 mfululizo siyo 3 tena π
Ukigundua mpinzani anatumia smart assist unatoa taarifa kabla mechi haijaisha ili tumuombee ban mapema πAah familia nllisahau vipi hiiπ
NO SMART ASSIST
Kabisa mkuu kama mambo yakienda vizuri tournament za mbele mechi ya Final itakuwa streamed live.Tena vizuri sasa hivi vikosi vyetu almost vimalingana strength challenge itakua kubwa