Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,157
- 10,396
Harakati za pimbi 😂Edo kissy nimepokea simu kutoka kwa promoter wa mapambano humu JF Mr. Selikavu , nasikia unataka leo pambano liwe live Azam Sports 2 HD saa 4 kamili usiku...
Napenda kuutaarifu umma nitakuwepo na nitahakikisha mashabiki zangu wanafurahi 📌
Nenda training kwanzia muda huu umepewa muda mwingi sana wa kujiandaa mkuu, mimi ndo nimeshtukizwa ila nitaingia uwanjani 😂
NEGAN Mill broh , Razorblade na wengine wengi humu, mjitokeze 😂😎
#KIWAKE. 😎
Kazi njema 😂Sadly nadhan nitakuwa offline kwa muda maana tambo langu limenizingua leo mchana (Storage issues)
Sikupanga kuileta hii news ila nimeona kuna Ulazima
Kama mmeangalia Friends list leo nimetoka...
account yangu nimempa mdogo wangu yeye alipoteza Id yake ya Zaman
Nikilud nitalud na Selikavu ila nadhan sitochukua muda mrefu
Nitakuwepo na Role yangu ya promoter kwa sasa 🔥
Pole zangu za dhati nampelekea Razorblade najua huwezi sikitika hata kdg fresh tuu mwanangu 🤣🤣🤣
Ni mwendo wa puuh paah, tunahesabu magoli 😂Edo kissy tayali kapata zake Epic wa 110🤣🤣🤣
Nilijua tu mwanangu hunaga baya🤣🤣🤣Kazi njema 😂
Ana defensive awareness 101 anakaba adi kipa kwanza ndo anafungaNi mwendo wa puuh paah, tunahesabu magoli 😂
Uje uje😃😃Mapema mno
Mzungu wa roho 😂Nilijua tu mwanangu hunaga baya🤣🤣🤣
Edo kissy tuzame kaka, nilikuwa na mechi za ligi hapa nimemaliza twenzao
Naomba kuwakumbusha kwamba MATOKEO BILA PICHA NI UZUSHI.Twende
Wajumbe tunasubiri matokeo😀Naomba kuwakumbusha kwamba MATOKEO BILA PICHA NI UZUSHI.
Kazi njema.
Ni bora usiende kuliko kutokuleta matokeoTwende
Kwa vile ni battle we hata wakisimama unaichapa tu 😂😂.. ngoja nibadili laini hapa airtel jau mkuu, stay kwenye game unipe invite tenaTwende
Msiwaze.. net imenizingua mechi ya kwanza hapa ndo nabadilisha mtandao nioneNaomba kuwakumbusha kwamba MATOKEO BILA PICHA NI UZUSHI.
Kazi njema.
Nakazia🤣🤣🤣Naomba kuwakumbusha kwamba MATOKEO BILA PICHA NI UZUSHI.
Kazi njema.
Ubaya ubwela mzee watu wanakabia juu sanaKwa vile ni battle we hata wakisimama unaichapa tu 😂😂.. ngoja nibadili laini hapa airtel jau mkuu, stay kwenye game unipe invite tena
Kwann ufunge sasa kama umeona🤣🤣🤣Sawa mkuu nimeona hicho kitu😂